Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.74K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Super tochi 🔥

agizo kutoka hapa: https://www.nachuraltouch.com/flashlight-p50-tz/
au tupigie simu: 0746426760
Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!

Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!

Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi

• utaweza ku freeze | pause | fake last seen
• Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
• unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
• sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
• pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk

OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
• muundo wake ni mzuri
• ni rafiki kila mtu anatumia
• ni offline hivyo huitaji bando
• unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.

Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
• iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
• ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
• private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk

goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.

1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk

Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link 👇
https://t.me/bongoTechs255

#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fahamu Programu Mashuhuri za Adobe.
Adobe Suite ni mjumuisho wa programu kadhaa za kazi za kiubunifu zinazotumika zaidi duniani kote katika sekta ya ubunifu.

Zifahamu baadhi ya programu maarufu zaidi kwenye familia ya Adobe Suit.
Ubunifu: Siti za Ndege za Ghorofa, zawavutia baadhi na kuibua maswali kwa wengine
InstantView from Source