Tuijue Vision Pro, Kifaa Kipya Kutoka Kwao Apple!
https://teknolojia.co.tz/tuijue-vision-pro-kifaa-kipya-kutoka-kwao-apple/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=tuijue-vision-pro-kifaa-kipya-kutoka-kwao-apple

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Tuijue Vision Pro, Kifaa Kipya Kutoka Kwao Apple!
Apple ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika Nyanja ya sayansi na teknolojia. Mara kwa mara kampuni imekua ikija na vifaa ambavyo vinaleta mapinduzi maku
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
My Stupid Heart - Walk off the Earth (Ft. Luminati Suns) Official Video
👍1
Google na Facebook watakiwa kuwekea alama taarifa, picha au video zinazotengenezwa na AI
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph

Teknolojia ya akili bandia (AI – Artificial Intellegence), inakua kwa kasi na sasa imefikia hatua ambayo ni vigumu sana kutofautisha kati ya picha au video ya kweli na zile zinazotengenezwa na mifumo ya AI.
Tanzania inaongoza kwa uagizaji wa magari Japani kwa Afrika Mashariki na Kati
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Tanzania inaongoza kwa uagizaji wa magari Japani kwa Afrika Mashariki na Kati
Katika data ambazo Kona ya Teknolojia tumefanikiwa kuzipata zinaonesha Tanzania ikiwa nafasi ya nne kwa upokeaji wa magari yaliyotumika yanayouzwa na Japani. Nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Urusi, ya pili na Falme za Kiarabu (UAE) na namba tatu ikichukuliwa…
Hivi Karibuni WhatsApp Itakua Na Uwezo Wa Kutuma Meseji/Jumbe Za Video Kama Snapchat!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Hivi Karibuni WhatsApp Itakua Na Uwezo Wa Kutuma Meseji/Jumbe Za Video Kama Snapchat!
Kipengele kinachosubiriwa kwa hamu na watumiaji wa mtandao wa WhatsApp ni kipengele amacho kinafanana na kile katika mtandao wa Snapchat. Kwa kupitia kipengele hichi basi watu wanaweza wakatumiana ujumbe mfupi kwa njia ya video kupitia katika mtandao huo.…
Super tochi 🔥
agizo kutoka hapa: https://www.nachuraltouch.com/flashlight-p50-tz/
au tupigie simu: 0746426760

Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!
Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!
Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!
Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi
• utaweza ku freeze | pause | fake last seen
• Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
• unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
• sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
• pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk
OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
• muundo wake ni mzuri
• ni rafiki kila mtu anatumia
• ni offline hivyo huitaji bando
• unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.
Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
• iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
• ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
• private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk
goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.
1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk
Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link 👇
https://t.me/bongoTechs255
#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps

Telegram
BongoTech255🎮🔻
Fahamu masuala mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha nyepesi kabisa ya kiswahili 😎
Tembelea page zetu ujifunze mengi zaidi 👇
https://bio.site/Bongotech255
Si Unajua Teknolojia ni Yetu sote ✍️

WhatsApp: Zima Kuita Kwa Sauti Kwa Namba Zisizojulikana, Ukipigiwa Simu (WhatsApp Call)!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
WhatsApp: Zima Kuita Kwa Sauti Kwa Namba Zisizojulikana, Ukipigiwa Simu (WhatsApp Call)!
Kwa sasa WhatsApp wanakuja na kipengele kipya ambacho kinajikita zaidi katika swala zima la ulinzi na usalama ndani ya App hiyo hususani katika eneo la kupigiwa simu.