Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.74K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
May 21, 2023 at 04:12PM
May 21, 2023 at 04:56PM
4KB
May 24, 2023 at 04:09PM
May 24, 2023 at 06:07PM
4KB
May 25, 2023 at 04:15PM
bongotech255 - Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri...
bongotech255 - Home | Facebook

Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri ina mambo mengi sana inarahisisha simu kuonekana simple sana.

Kupitia simu unaweza andika ujumbe haraka sana bila kugusa keyboard Ikiwa labda unaendesha gari au umeshika begi , unapika nk basi unaweza tuma ujumbe bila kushika simu mkononi. Lakini siri inaweza fanya Zaidi ya hayo unayoyajua, najua apple haiwezi kukuambia kila kitu ila kilichopo kwenye iphone ila kazi Yetu kuwajuza kwa yale msiyoyajua Leo nakuambia baadhi 👇 1) Quick find password for app & website Unajua kwenye simu zetu unaweza ku save passwords toka kwenye app ambazo ume sign au login kupitia icloud keychain kwenye iphon...

View original post