Jinsi Ya Kufanya Tovuti (Website) Kuwa Na Muonekano Wa Kompyuta Katika Simu Yako! #iPhone #Android
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph

Kingine cha kufahamu katika hili– website — ni kwamba unaweza ukawa na uwezo wa kulazimisha muonekano wa tovuti wa kwenye kompyuta uonekane katika simu janja.
Simu Mpya Za Redmi Note 12 Kutoka Xiaomi Zitazinduliwa Tanzania Aprili 20! #Xiaomi
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Simu Mpya Za Redmi Note 12 Kutoka Xiaomi Zitazinduliwa Tanzania Aprili 20! #Xiaomi
Kampuni hii — Xiaomi — kubwa ya teknolojia imekuwa ikifanya vizuri katika ubunifu wa simu zake, na mfululizo huu wa simu za Redmi Note 12 sio tofauti.
bongotech255 - Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu...
bongotech255 - Home | Facebook
Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu moja wapo Google maps, wameamua kuleta feature mpya ya kuweza kuwasaidia watu kuhusu tahadhari wakiwa barabarani.
Ikitokea mtu anapita kwenye eneo au barabara ambayo sio salama kwake basi google watamtumia ujumbe kama tahadhari ya Eneo alilopo inabidi hawe makini. Pia itakupa taarifa kuhusu barabara unayopita kama ni salama au lah ila mara nyingi inafanya kazi kwenye zile barabara ambazo unatumia mara nyingi kila siku kwenye shughuli zako za kimaisha. Itaweza kukuambia barabara inayopita endesha polepole au Kasi kama Kuna ujenzi mbele au lah. Itaweza kukutarifu eneo unalopita kama Kuna vibaka , matapeli kuwa makini na mali zako nk Unaionaje hii feature kwenye google maps !!! #google #googlemaps #bongotech255 #fahamuzaidi

Xiaomi imezindua mfululizo wa simu za Redmi Note 12 na kuwahamasisha watumiaji kuishi kwa uhalisia zaidi.
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Xiaomi imezindua mfululizo wa simu za Redmi Note 12 na kuwahamasisha watumiaji kuishi kwa uhalisia zaidi.
Kuendeleza ubora zaidi wa mafanikio ya kushangaza ya mfululizo wa simu za Redmi Note 11, mfululizo wa simu za Redmi Note 12 unatoa uboreshaji mkubwa kwa mara nyingine kwa vipengele ambavyo vinajaliwa na mashabiki wake. Ubunifu huu ni pamoja na mfumo wa…