Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
bongotech255 - Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu...
bongotech255 - Home | Facebook

Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu moja wapo Google maps, wameamua kuleta feature mpya ya kuweza kuwasaidia watu kuhusu tahadhari wakiwa barabarani.

Ikitokea mtu anapita kwenye eneo au barabara ambayo sio salama kwake basi google watamtumia ujumbe kama tahadhari ya Eneo alilopo inabidi hawe makini. Pia itakupa taarifa kuhusu barabara unayopita kama ni salama au lah ila mara nyingi inafanya kazi kwenye zile barabara ambazo unatumia mara nyingi kila siku kwenye shughuli zako za kimaisha. Itaweza kukuambia barabara inayopita endesha polepole au Kasi kama Kuna ujenzi mbele au lah. Itaweza kukutarifu eneo unalopita kama Kuna vibaka , matapeli kuwa makini na mali zako nk Unaionaje hii feature kwenye google maps !!! #google #googlemaps #bongotech255 #fahamuzaidi