Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
โ€Œbongotech255 - Home | Facebook

Umekua na changamoto kwenye simu yako Kila ukiweka bando la mb 500 , 1Gb linakwisha faster ?

Najua ni tatizo kubwa Sana kwa watu wengi duniani unajikuta unanunua kifurushi chako lakini ukiwasha data tu balaa.

Kuna app inaitwa glasswire ni bonge Moja la app ya kuwa nayo kwenye simu yako kwani itakusaidia kuzuia matumizi ya bando lako kuisha haraka sana. โ€ฆ See more

Link ya telegram Yetu jiunge nasi

https://t.me/bongoTechs255โ€ฆ See more
bongotech255 - Home | Facebook

Je simu yako Ina support Esim card Leo nakuletea list la simu zinazo support Esim ulimwenguni !!

Esim card Inasimama Kama embedded sim or electronic sim. Ni teknolojia inayokuwezesha kuweza kutumia line ya simu yako bila kuiweka Yani utaweza kutumia simu kupiga, kupokea, kuchati , kusave Majina namba nk bila kuwa line ambayo unaweza kuishika.

Mfumo wake tayari Unakua na line tayari zimekuja na simu we unachofanya ni ku activate tu na kutumia.โ€ฆ See more

Ndio Kwanza naisikia. Asante kwa habari hii mpya
โ€Œbongotech255 - Home | Facebook

Umekua na changamoto kwenye simu yako Kila ukiweka bando la mb 500 , 1Gb linakwisha faster ?

Najua ni tatizo kubwa Sana kwa watu wengi duniani unajikuta unanunua kifurushi chako lakini ukiwasha data tu balaa.

Kuna app inaitwa glasswire ni bonge Moja la app ya kuwa nayo kwenye simu yako kwani itakusaidia kuzuia matumizi ya bando lako kuisha haraka sana. โ€ฆ See more

Link ya telegram Yetu jiunge nasi

https://t.me/bongoTechs255โ€ฆ See more
bongotech255 - Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya...
bongotech255 - Home | Facebook

Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya laptop au desktop yako kwa bei poa sana

Unaweza kutumia hata kawaida tu karibu @hyatzcomputers ujipatie kwa bei poa sana Warranty miezi SITA ikifa rudisha Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa Watafute sasa @wikeltechnologies_tz @zirene_laptop_accessories_tz kwq Mahitaji Mbalimbali ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wapigie ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ +255692630904 | +255765171270 #mouse #gamingmouse #mousepad #instatechnology #bongotech255 #fahamuzaidi
bongotech255 - ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ wameleta feature mpya inaitwa clear...
bongotech255 - Home | Facebook

๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ wameleta feature mpya inaitwa clear calling ambayo inaondoa kelele kwenye simu yako wakati unapiga simu.

Kuna nyakati unajikuta unampigia mtu simu akipokea unakuta Kuna kelele za pembeni zinajitokeza na kusababisha kutosikika vizuri kupitia simu na kushindwa kuelewa. Inawezekana Uko kwenye bajaji , pikipiki au kwenye mkusanyiko wa watu hali hii inakera Sana ya kupokea simu na kusikia sauti za watu sasa google wakaamua kuletea feature mpya inaitwa Clear calling Mtumiaji atakua na uwezo wa kuzuia kelele ambazo zinasababisha mtu asiweze kusikia vizuri pia anapoongea kwenye simu. Mwanzoni hii feature ilikua inatumi...

View original post
bongotech255 - Home | Facebook

8 in one type C USB ni hatari Iko poa sana karibuni kwa @wikeltechnologies_tz muweze kujipatia orginal kabisa

Yani hapa unapata port nane kwa mpigo unaweza kutumia kwenye tv , simu au kompyuta

โ€ข Hdmi

โ€ข Vga โ€ฆ See more
bongotech255 - Unajua unaweza kutumia akaunti mbili za...
bongotech255 - Home | Facebook

Unajua unaweza kutumia akaunti mbili za WhatsApp kwenye simu moja ?

Najua nikisema ivyo basi watu watasema weka Whatsapp gb pamoja na normal Whatsapp au Whatsapp business pamoja na normal Whatsapp ๐Ÿ˜€ hapana!! Leo nitakuambia jinsi ya kufanya njia hii ni rahisi sana utaweza kutumia akaunti mbili za Whatsapp kwenye simu yako yani ๐Ÿ‘‡ "Tunaigawa Whatsapp yako moja mara mbili nazani umenielewa itakufanya uweze kutumia akaunti Zaidi ya moja kwenye simu yako." ๐Ÿ”น ๐—œ๐—ก๐—™๐—œ๐—ก๐—œ๐—ซ Kwa watumiaji wa Infinix fanya hivi ingia setting kisha search >>> xlclone utaona Kuna Facebook , Instagram , Whatsapp nk hivyo utachagua unayotaka. ๐Ÿ”น ๐—ฆ...

View original post