Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
BALAA..!! MAREKANI YAPITWA NA CHINA NA URUSI
Newzfid

#marekani #urusi #china
Kwa miezi kadhaa iliyopita, ‘makombora ya hypersonic’ yamekuwa vichwa vya habari, huku nchi kama China na urusi zikimwagiwa sifa kutokana na maendeleo yake katika makomboroa hayo ya kisasa dhidi ya marekani.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa

Reply to @nilbaeofficial Maana ya iOS Beta, Faida yake na Madhara yake kama itawekwa kwenye Simu #simukitaa
vip_premium_2_1.apk
1.2 MB
vip_premium_2_1.apk
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ADA ni nini ?
Snashtz

Ada ni programu ya afya isiyolipishwa ambayo hutoa ufikiaji wa huduma bora kwa mamilioni ulimwenguni kote.
Angalia programu yao na udhibiti afya yako leo: https://app.adjust.com/cx330ie

Unafanya nini unapojisikia vibaya? Je, unawasiliana na daktari au una google
dalili zako? Muda mfupi uliopita nimepata suluhisho nadhifu na sahihi zaidi hilo
hukusaidia kudhibiti afya yako na kuelewa vyema nini kinaweza kusababisha yako
dalili, pamoja na Ada. Ada ni programu ya afya isiyolipishwa ambayo hutoa ufikiaji wa huduma bora kwa
mamilioni duniani kote. Angalia programu yao na udhibiti afya yako leo: https://app.adjust.com/cx330ie
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kuwa Advanced | Jinsi ya kufungua folder lilolofungwa | Futa chochote kisichofutika katika Computer
NK- Computer Training

Jifunze hatua jinsi ya kufungua folder lilolofungwa | Futa chochote kisichofutika katika Computer, video hii itakuonesha hatua zote muhimu za kufungua folder lilolofungwa | Futa chochote kisichofutika katika Computer, video yote ni Kuwa Advanced | Jinsi ya kufungua folder lilolofungwa | Futa chochote kisichofutika katika Computer.

-----------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali au kuwasiliana nasi ingia hapa: https://myurls.co/nk
-----------
Windows 7/8/10 - “You Do Not Have Permission To Access” Error Fix
Fix Location is not available-Access is denied error in Windows 10/8/7
How to fix 'you require permission from SYSTEM to make changes to this folder' Windows 10\
Fix “You don’t currently have permission to access this folder” Windows 10, 8, 7
Fix Drive is Not Accessible
Fix Drive is Not Accessible...