Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Chaji ya simu janja inayojaza umeme kwa robo saa tu

Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana kuweza kuja na bidhaa ambazo zitavutia wateja wengi. Hivi nikuulize unajisikiaje ukiwa na chaji ambayo inajaza betri ndani ya robo saa tu? Oppo ni moja ya kampuni ambayo inatoa simu janja za kuvutia lakini pia zenye sifa zilizoshiba. Mbali na hilo wamekuwa wakiweka nguvu...

The post Chaji ya simu janja inayojaza umeme kwa robo saa tu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/chaji-ya-simu-janja-inayojaza-umeme-kwa-robo-saa-tu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=chaji-ya-simu-janja-inayojaza-umeme-kwa-robo-saa-tu
Thamani ya Meta (Facebook) yashuka kwenye soko la hisa

Kwa mujibu wa sheria kwenye nchi nyingi tuu ni lazima kampuni zisajiliwe kwenye soko la hisa ili kutoa fursa kwa wananchi kuweza kununua hisa na kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni husika. Meta ambayo hapo awali iliitwa Facebook imekuwepo kwenye soko la hisa kwa miaka mingi tuu ambapo thamani yake ilikuwa ikifikia $1 trilioni lakini...

The post Thamani ya Meta (Facebook) yashuka kwenye soko la hisa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/thamani-ya-meta-facebook-yashuka-kwenye-soko-la-hisa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=thamani-ya-meta-facebook-yashuka-kwenye-soko-la-hisa
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

KAZI IENDELEE…!

Tanzania Communications Regulatory Authority tunataka muzifungie page zote chafu sio kuadhimisha maazisho yasiyo ya LAZIMA Kwa kumfurahisha mtu mmoja kazi iendelee Kwa hizo blogg na mapage machafu ya insta na Facebook
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!!
Watu wengi wamekua na tabia ya kutaka kumiliki simu ila changamoto wakifika dukani au kwa mtu wanashindwa kujua mambo Gani wazingatie wapate simu iliyobora kwao!!

Tizama iyo video utajifunza jambo

Teknolojia ni Yetu sote

#swahilitech #simu #maujanja #bongotech255
Kivinjari (Browser) Maalum kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu

Katika kukaribia kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani kama wewe ni mmoja wa Waumini wa Dini ya Kiislamu basi ni muhimu kusoma makala hii. Sasa kama ulikuwa hujui, kuna aina mpya ya browser ambayo imetengenezwa maalum kwa waumini wa dini ya kiislamu. Browser hiyo au kivinjari hicho kinakupa uwezo wewe muslamu kufanya mambo mbalimbali ambayo […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/browser-maalum-kwa-waislamu/
Tumia Simu Yoyote Android Kwa Haraka (Mkono Mmoja)

Kadri siku zinavyokwenda ndio simu zinazidi kuwa kubwa hasa kwenye upande wa kioo, hii inafanya inakuwa ni ngumu sana kutumia simu kwa mkono mmoja, kuliona hili leo Tanzania Tech tumekuletea njia rahisi ya kutumia simu yoyote ya Android kwa urahisi kwa mkono mmoja. Njia hii ni rahisi sana na inaweza kumsaidia mtu yoyote kuweza kutumia […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/tumia-simu-kwa-mkono-mmoja/
Tovuti Zinazoweza Kukusaidia kupata Msaada wa Kifedha

Ni wazi kuwa kila mmoja wetu hajajitosheleza na kuna wakati unapitia magumu kiasi kwamba unatamani kuomba msaada kwa jamii kwa sababu ya kushindwa kabisa kutoka kwenye hali uliyopo. Kama wewe ni mmoja wa watu wanao pitia hali ngumu ya maisha kwa sasa basi usikate tamaa kwani makala hii inaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine. […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/msaada-wa-kifedha/
Hizi Hapa Apps ambazo ni Mbadala wa Soko la Play Store

Ukweli ni kwamba kuna watu wengi sana wanaotumia simu za Android ambazo hazina uwezo wa kupakua programu kutoka soko la play store. Hii inafanya watu wengi kushindwa kupakua kwa haraka programu za muhimu au kukosa update za programu hizo kwa wakati. Kuliona hili leo nimekuletea list ya masoko ya apps ambayo yatakusaidia kupakua apps za […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/masoko-ya-apps/