Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!!
Watu wengi wamekua na tabia ya kutaka kumiliki simu ila changamoto wakifika dukani au kwa mtu wanashindwa kujua mambo Gani wazingatie wapate simu iliyobora kwao!!

Tizama iyo video utajifunza jambo

Teknolojia ni Yetu sote

#swahilitech #simu #maujanja #bongotech255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Pima Mapigo ya Moyo kwa Kutumia Smartphone Yoyote #Maujanja 142
Kama ungependa kupima mapigo ya moyo wako kwa kupitia smartphone yako ya aina yoyote, kupitia video hii utaweza kujifunza njia rahisi za kupima mapigo ya moja kwa urahisi kwa kutumia Smartphone yako. Njia hii imethibitishwa na inaonyesha inafanya kazi kwa usahihi, Kitu cha muhimu ni kuhakikisha unafuata maelezo hapo juu ili kujua jinsi njia hii inavyofanya kazi kwenye simu yako.

Download app kupitia link hapo chini kisha hakikisha unafuata maelezo kwenye video kabla ya kuanza kutumia apps hizi.

MUHIMU : Tafadhali kumbuka, Apps hizi hazipaswi kuchukua nafasi ya vifaa vya matibabu na hazipaswi kutumiwa kwa maamuzi yoyote ya kliniki ni muhimu kwenda hospitali kama unahisi dalili yoyote ambayo ina hatarisha maisha yako.

LINK MAALUM

1. Pakua Hapa App ya Kwanza - https://url.tanzaniatech.one/g ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya Kupata Likes Nyingi Instagram kwa Urahisi (Njia Bora 100%) #Maujanja 122
Kama unataka kuongeza likes kwenye picha ua views kwenye video unazopost kwenye akaunti yako kupitia mtandao wa instagram basi #Maujanja haya yatakusaidia sana. Kupitia njia hii utaweza kupata likes kwa kutumia hashtag, kumbuka njia hii sio sawa na njia nyingine ambazo unazijua bali hii ni rahisi na haraka.

Kama bado huja angalia video yote nakushauri angalia kwani utaweza kujua njia hii rahisi ambayo inafanykazi kwa asilimia 100. Kama umeangalia video basi link ya app iliyotajwa inapatikana hapo chini.

LINK MAALUM

1. Download App ya Hashtag Generator HAPA - https://url.tanzaniatech.one/SR3

2. Kuamini kama njia hii inafanya kazi Angalia akaunti yetu ya Instagram HAPA - https://instagram.com/tanzaniatech_

3. Jifunze kwa undani kuhusu njia hii HAPA - https://url ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fahamu Matumizi ya Sehemu Hii (Android) #Maujanja 147
Kama kwa namna yoyote unataka kukuza maandishi yaliyopo kwa sehemu zote za simu yako yaani Apps na Settings za simu yako basi njia hii itakusaidia sana.

Njia hii ni bora zaidi kwa watu ambao hawaoni vizuri au watu wazima ambao wana matatizo ya kuona vizuri. Njia hii itakusaidia sana.
Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!

Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!

Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi

• utaweza ku freeze | pause | fake last seen
• Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
• unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
• sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
• pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk

OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
• muundo wake ni mzuri
• ni rafiki kila mtu anatumia
• ni offline hivyo huitaji bando
• unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.

Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
• iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
• ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
• private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk

goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.

1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk

Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link 👇
https://t.me/bongoTechs255

#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Fahamu haya MAPEMAA kabla hujachukua MKOPO online kwa simu!
Katika video hii utajifunza Mambo ya kuyafahamu kabla hujapata mkopo online.

kumekuwa kuna video nyingi sana zikikueleza jinsi ya kupata mkopo online kwa simu yako.

pia huwa tunakutana na matangazo mengi ya mkopo yakieleza yanatoa mikopo kwa riba nafuu bila dhamana, lakini zipo siri nyingi zilizo fichika chini yake.

zipo katika kila kampuni za mikopo kama Branch, pesax, mkopowako, mshikofasta,
Ni katika mfululizo wa visldeo za kupata mikopo rahisi kupitia simu yako kirahisi, video ilio pita nilizungumzia app 10 bora za mikopo waweza tazama,
app hozo ni kama, premier cash, cashx app, tala Tanzania, Brach, onepesa, pesax, umoja loan

#mkopo
#maujanja
#loan
#finace
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ZUIA App za mikopo KUIBA Taarifa zako, sms, picha za simu. TAZAMA HII
zuia app za mikopo kuiba taarifa zako kupitia simu yako

video iliyo pita nilizungumzia kuhusu app za mikopo kwa njia ya simu.
nini cha kutazama kabla ya kukopa kupitia app hizi.

mikopo kwa njia ya simu

Ni katika mfululizo wa visldeo za kupata mikopo rahisi kupitia simu yako kirahisi, video ilio pita nilizungumzia app 10 bora za mikopo waweza tazama,
app hozo ni kama, premier cash, cashx app, tala Tanzania, Brach, onepesa, pesax, umoja loan

#mkopo
#maujanja
#loan
#finace
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

Je, umechoshwa na picha zenye ubora hafifu au video zisizo dhahiri unapozituma kwenye status yako ya WhatsApp? Siri ya kushirikisha(kushare) Picha na Video za HD kwenye Status ya WhatsApp hii hapa➡️ https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kushare-picha-na-video-za-hd-kwenye-staus-ya-whatsapp/
#maujanja #teknokona #HDstatus.