Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

“Spyware” ni programu ya kupeleleza iliyotengenezwa kwa nia ya kuingizwa kwenye kompyuta yako, kukusanya taarifa zako na kuzisambaza kwa mtu mwingine. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/LEdW
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
InFoTel - Telegram
How To Convert Telegram Video To Animated Sticker

Telegram Animated Sticker
Telegram added support for stickers converted from regular videos, so that anyone can easily create detailed animated stickers using any video editing program. you can publish your packs with the @Stickers bot.

NB: Update Telegram

Social Media Handles
=================================
Telegram Group: https://Telegram.me/InFoTel_Group
Telegram Channel: https://Telegram.me/Tginfotel
Facebook: https://www.facebook.com/Infotelbot
Website: www.infotelbot.com
=======================
Join to this channel to acces amazing perks:
https://www.youtube.com/channel/UCLY4kbZ2IQXbph4S54Z-JnA/join
=======================
Subscribe! It's free!!
=======================
#InFoTel #Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Chuo cha Ustawi wa Jamii - ISW na Jeshi la Polisi Tanzania, wameandaa na kutoa Semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Kijitonyama, Dar es salaam; kwa lengo la kuwapa wanafunzi elimu ya matumizi stahiki na salama ya mawasiliano hasa mitandao ya kijamii. Zaidi ya wanafunzi 350 walifikiwa katika semina hii.

@wizarahmth

@nape_nnauye

@isw_official_tz

@polisi.tanzania

ukiwa unaendelea kupata elimu hiyo, ongezea na hii https://youtu.be/AJ5ZoJmw__Y
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 3 Februari, 2022💥💥💥

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
TeknoKona (Facebook)

Fahamu kuhusu kompyuta za magemu na sifa zake kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/IXGV
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu siri iliyopo kwenye utengenezaji wa mashine mbalimbali pamoja na vifaa vya kielektroniki.

https://zcu.io/wrk8
TeknoKona (Facebook)

Jina "BlackBerry" bado linahitajika kwenye ushindani wa simu janja.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JET LI ALIPOTELEA WAPI
#JetLi #kungfu #movies
Jet li ni mmoja wa watu mashuhuri katika tasnia ya filamu za Martial art. Kwa wale ambao hawakukulia kwenye kipindi cha filamu za kung fu, Jet li ni nguli wa filamu hizo kama walivyo waigizaji wengine kama Jackie chan na Donnie Yen. Katika episode hii tunakwenda kujua Jet li alipotelea wapi na yu wapi sasa?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

Je, unatamani kuchapisha kitu kirefu zaidi kwenye Twitter?
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Watoa Huduma za Mawasiliano ya Simu,imetoa semina ya kuhamasisha matumizi salama ya mitandao kwa maafisa TEHAMA kutoka Halmashauri za Mkoa wa Dodoma na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, tarehe 3 Februari, 2022 katika Ofisi za TCRA Kanda ya Kati.

Watumiaji wote wa Mawasiliano wanao wajibu wa kutumia huduma za Mawasiliano kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo, pia wanayo haki ya kupata huduma bora za Mawasiliano.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuifahamu sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015.

https://zcu.io/3umr
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu vifaa vya kuwa navyo na mambo ya kuzingatia unapokuwa na kamera.

https://zcu.io/dnxT