Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JIFUNZE EXCEL KUTOKEA ZIRO
JIFUNZE EXCEL KUTOKEA ZIRO

Kujiunga na masomo yetu, tumia App yetu : https://nkitlessonscenter.glideapp.io/
-------------------------
Au jaza fomu hii kujiunga na masomo yetu: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
--------------------------
Link ya video hii: https://youtu.be/I_kkxtJDiPU
---------------------------------------------------------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
-------------------------------------------------------
Pia unaweza kutazama:
- Zuia virusi kula mafaili yako bila ya Anti virus yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=_y2p_5icmeU&t=1s
- Mchezee rafiki yako izime pc yake kila anapoiwasha
https://www.youtube.com/watch?v=lbUcfjx2R5k&t=1s
- Jinsi ...
TeknoKona (Facebook)

Jinsi ambavyo WhatsApp Web inavyoboreshwa kufanana na nduguze.
TeknoKona (Facebook)

Samsung Galaxy Z Flip 5G polepole zimeanza kupokea mazuri yanayopatikana kwenye Android 12.
TeknoKona (Facebook)

Sura mpya ya YouTube iliyolenga kurahisisha mambo wakati wa kuangalia kilichochapishwa kwenye chaneli husika.
TeknoKona (Facebook)

Google imeona ni vyema kusogeza msaada karibu ili kusaidia watu.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Pamoja kwa Mtandao Bora”

#8/2/2022
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Pamoja kwa Mtandao Bora” #8/2/2022
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Washiriki wa Shindano la Tatu la masuala ya Usalama Mtandaoni 2021/22, wakishiriki fainali za Shindano hilo lililofanyika katika Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (CIVE-UDOM). Jumla ya washiriki 48 kutoka Taasisi mbalimbali za Elimu ya Juu wameshiriki Shindano hilo lililoandaliwa kwa lengo la kukuza uwezo kwa vijana katika kuimarisha na kukabili vihatarishi vya usalama mtandaoni.

Shindano hilo limeratibiwa na Kituo cha Kukabiliana na Majanga ya Kimtandao ( TZ-CERT) chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na kampuni ya Silensec. @tz_cert