Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.58K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

PUNYETO INA FAIDA KWAKO?
Well episode hii ni matokeo ya utafiti nilioufanya mtandaoni kuhusiana na Faida na hasara za punyeto aka kujichua, na kama kawaida ya newzfid, episode hii haijaletwa kukufundisha HAPANA... lengo ni kuchochea utafiti wa kila dhana.

0:00​ | Introduction
0:41​ | Punyeto ni nini?
1:09​ | Hasara za punyeto
2:22​ | Faida za punyeto
TeknoKona (Facebook)

Huu ndio undani wa Tecno Camon 18T.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kongamano la 44 la kuadhimisha Siku ya Mawasiliano/TEHAMA Afrika litafanyika mtandaoni tarehe 7/12/2021 kuanzia saa tano kamili asubuhi (5:00) hadi saa sita na nusu mchana (6:30).

Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti ya www.atuuat.africa
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kupakua video za Youtube kupitia VLC.

https://teknolojia.co.tz/shusha-video-za-youtube-kwa-kutumia-vlc/
TeknoKona (Facebook)

Matumizi ya mtandao hayana kikomo lakini kwa upande wa kujiburudisha wewe unatumia tovuti zipi za mtandaoni kujiburudisha?

1. Tovuti za movie 2. Tovuti za mziki 3. Tovuti za Magemu Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Mpangilio mzuri wa mafaili hupelekea wepesi wa kufanya kazi. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dr. Jim Yonazi watembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) lililopo kwenye viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru zitakazofanyika rasmi tarehe 9/12/2021.

TCRA inawakaribisha Wakazi wa Jiji la Mwanza na Mikoa ya Jirani kutembelea viwanja vya Rock City Mall na kufika kwenye Banda letu ili kupata huduma za papo kwa papo ikiwa ni pamoja na kupata Elimu, ushauri, majibu ya maswali uliyonayo kuhusu TCRA na mengine mengi.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuzifahamu programu zote za Adobe pamoja na matumizi yake.

teknolojia.co.tz/fahamu-programu-zote-za-adobe/
TeknoKona (Facebook)

Kampuni ya Tesla inazidi kushangaza watu kwa kutoa Gari aina ya Cyberquad ATV maalum kwaajili ya watoto. Kwa maelezo zaidi soma makala hii.

https://teknolojia.co.tz/tesla-inauza-cyberquad-atv-kwa-ajili-ya-watoto/