Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.58K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI NDEGE NI NYEUPE
Kwanini ndege ni nyeupe na sio nyeusi,bluu,njano,nyekundu ama rangi nyingine yeyote ile? Well kupitia episode hii fupi nakwenda kulijibu swali hilo...humu tegemea majibu ya swali na Je wajua kadhaa. Asante
Kama ni mara yako ya kwanza kutazama Newzfid karibu sana vile vile usisahau kulike video hii na kusubscribe kwa kufanya hivyo utakuwa umeniunga mkono.Asante
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu kwa undani kuhusu virusi vya kwenye simu na kompyuta.

https://teknolojia.co.tz/vijue-virusi-vya-kompyuta-na-simu-kiundani/
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kugawa nafasi ya kwenye diski ya kompyuta yako kwa kusoma makala hii.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-gani-unaweza-kuigawannya-diski-uhifadhi-maujanja/
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unatenga muda kusafisha kifaa chako cha kielektroniki ili kuzuia hitilafu ndogo ndogo kutokea. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Profesa Kitila Mkumbo amefungua Maonesho ya 21 ya Nguvu Kazi kwa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati kutoka Nchi za Afrika Mashariki, na kutembelea banda la huduma kwa wateja la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) lililopo ndani ya viwanja vya Rock City Mall.

Wakazi wa Jiji la Mwanza na Mikoa ya jirani wanakaribishwa kutembelea viwanja vya Rock City Mall na kufika kwenye Banda la TCRA ili kupata huduma za papo kwa papo ikiwa ni pamoja na kupata Elimu, ushauri, majibu ya maswali uliyonayo kuhusu TCRA na mengine mengi.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kusambaza faili kubwa kupitia WhatsApp.

https://zcu.io/zZwf
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kurudisha mafaili yaliyofutwa kwenye simu au kompyuta kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/RuQP
TeknoKona (Facebook)

IBM ni moja kati ya kampuni zinazazomiliki Super Computer nyingi duniani, Kwa maelezo zaidi soma makala hii.

https://teknolojia.co.tz/super-computer-na-matumizi-yake/
TeknoKona (Facebook)

Virusi vya kwenye simu au kompyuta vinaweza kufuta, kuharibu au kuvuruga taarifa ulizohifadhi kwenye kifaa chako. Chukua tahadhari kwa kupakua programu maalum za kupambana navyo. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kongamano la 44 la kuadhimisha Siku ya Mawasiliano/TEHAMA Afrika litafanyika mtandaoni tarehe 7/12/2021 kuanzia saa tano kamili asubuhi (5:00) hadi saa sita na nusu mchana (6:30).

Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti ya www.atuuat.africa