Teknolojia
134 subscribers
3.84K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
1️⃣ Simu ina sensor ya β€˜proximity’

Sensor hii ipo juu karibu na kamera ya mbele. Kazi yake ni kuzima screen pindi unapokaribia uso wako ili kuepusha kugusa screen kwa pua au mashavu bila kukusudia.

Lakini...
2️⃣ Sensor ikiziba kabla ya muda ....

Kuna wakati simu inaweza kudhani umeweka sikioni, kumbe haujaweka. Sababu kuu ni:

Kioo kuwa na stika nzito au tempered glass mbaya

Uchafu mbele ya kamera ya mbele

Sensor yenyewe kuharibika
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨KWANINI SIMU YAKO INAZIMA SCREEN KABLA HUJAWEKA SIKIONI UNAPOPIGA SIMU?

Ni tatizo linalowasumbua wengi – unapopiga simu, kabla hujaweka sikioni tayari screen imezimika, huwezi hata bonyeza speaker au end call. Kwanini hili hutokea?

Fuata uzi huu hadi mwisho πŸ‘‡
3️⃣ Dalili kuu za sensor tatizo

βœ… Simu inazima screen haraka hata kabla hujaiweka sikioni
βœ… Screen haijawaki hata baada ya kuiweka mbali
βœ… Hautaweza kutumia speaker, keypad au hata kuhang up unless uitumie kwa earphones
πŸ”š Kwa kifupi:

Sensor ya proximity ni muhimu – lakini ikileta usumbufu, tatua kwa:

βœ”οΈ Kusafisha kioo
βœ”οΈ Kuondoa screen protector nzito
βœ”οΈ Kufanya sensor test
βœ”οΈ Kumwona fundi kama njia zote zimeshindikana
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Oppo Find X8 Ultra ndiyo simu yenye Camera kali kwasasa duniani

Kwa mujibu wa DXO Mark hawa ni wataalamu wa kupima ubora wa vifaa vya Electronics duniani

Vivo X200 Ultra nafasi ya pili imemkaribia Oppo zaidi. Xiaomi huu mwaka kwao umekuwa mzito kila sehemu.
@Huduma

πŸ’¨ OPPO K13 Turbo Pro
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wi-Fi si Internet! Usichanganye! Wi-Fi ni njia ya kuunganisha vifaa, si huduma ya internet yenyewe. Jifunze tofauti kati ya Wi-Fi na internet hapa! πŸŒπŸ“Ά
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Naomba neno moja kwa hawa vijana wangu kwenye Dancing!! γ‚š
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

LINI WATANZANIA TUTAANZA KUJITOA KWA MOYO KWA TIMU YETU YA TAIFA. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
6. Hakiki na thibitisha

β€’ Facebook au Instagram watakagua tangazo (huchukua dakika hadi masaa machache)

β€’ Likikubaliwa – litaanza kuonekana kwa watu wa miji au rika ulilolenga
3. Chagua lengo la tangazo

Facebook au Instagram itakuuliza unataka watu wafanye nini:

βœ… Kutuma ujumbe
βœ… Kutembelea tovuti
βœ… Kuongeza likes/comments
βœ… Kupiga simu

⚠️ Chagua Send Message kama unauza bidhaa unazojibu DM moja kwa moja.