Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
5. Weka Bajeti

πŸ’° Budget ni kiasi cha pesa unataka kutumia:

β€’ Tsh 3,000 kwa siku (kawaida)
β€’ Tsh 10,000 kwa siku (kwa matokeo zaidi)

Unaweza kuboost kwa siku 3 au 5. Facebook itaonyesha makadirio ya watu watakaoona.

πŸ“Œ Hakikisha umeunganisha mpesa au kadi ya malipo
8. Baada ya Boost

βœ… Jibu DM zote haraka
βœ… Tumia β€œQuick Replies”
βœ… Tambua aina ya watu wanaouliza
βœ… Boresha tangazo linalofuata kwa kuzingatia maswali yao
4. Chagua walengwa (Audience)

Hii sehemu ni muhimu sana:

πŸ›‘ Usichague β€œAutomatic”. Tengeneza audience mpya:

πŸ“ Location: Tanzania au mji maalum
🎯 Age: 18–40 (kulingana na wateja wako)
πŸ“š Interests: Android, Fashion, iPhone, Delivery, Women Clothing, etc.
πŸ“Œ Mambo ya Kukumbuka

βœ… Usitumie picha mbaya au zenye maandishi mengi
βœ… Usipost bidhaa haramu (Facebook wata-kataa boost)
βœ… Jaribu picha tofauti – fanya A/B Testing
πŸ’‘ Mfano:
Unauza simu? Chagua watu wenye interest:
πŸ‘‰ Android phones
πŸ‘‰ Smartphones
πŸ‘‰ Jumia
πŸ‘‰ Dar es Salaam
πŸ‘‰ Tanzania
9. Bonus: Boost ya Instagram Bila Akaunti ya Biashara

πŸ‘‰ Badilisha akaunti yako kuwa Professional Account
πŸ‘‰ Fungua sehemu ya β€œInsights”
πŸ‘‰ Tumia Boost tools pale pale kwenye post zako
7. Jinsi ya Kulipia Boost kwa M-PESA

πŸ‘‰ Tumia apps kama:
β€’ Chipper Cash
β€’ Payday
β€’ Grey
β€’ Barter
β€’ Eversend

πŸ” Zote zinawezesha kupata VISA card ya kulipia Facebook Ads kwa M-PESA moja kwa moja!
πŸ“ Kama una duka au biashara ya mtandaoni – Boost ni njia rahisi ya kuwafikia maelfu ya watu bila gharama kubwa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuzuia namba yako isiweze kujulikana na truecaller..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kucheza game za kwneye sim kwa kutumia ps5 controller pad Hii imekaa poa saba kwa sisi GamersπŸ”₯πŸ”₯
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

πŸ’‘ Internet kupitia mwanga! πŸš€ Hii si Wi-Fi… ni Li-Fi – teknolojia mpya inayotumia mwanga wa LED kutuma data kwa kasi ya ajabu ⚑ πŸ“Ά Kasi yake inaweza kufika hadi mara 100 ya Wi-Fi! Je, unafikiria siku moja tutaachana na Wi-Fi kabisa? πŸ€”