Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Najaribu kutaka kuelewa wazo la @avischiffmann kuhusu hii FRIEND AI ila napata mashaka kwa nchi zetu za AFRIKA ! inatufaa kweli ? Full video kuhusu Friend ipo Youtube Teyari Hii imepewa nguvu na @mandasistore #techinswahili #friend
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Toka nianze kuangalia Wolverine sijaona hii version ya wolverine ! Balaa !!!!
📸 Selfie ya kwanza nje ya dunia.

💡 Ilikuwa mwaka 1966 na Buzz Aldrin
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

TECNO BG6 POP 8 imei repair
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#imei #imeirepair #tecno #spd #chimeratool #mobilerepairing #mobile #imeichange
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Spark 10 Hard Reset KI5Q Reset Pin Unlock Without PC
Tecno Spark 10 (KI5Q) Hard Reset | Remove Password
YouTube · ClearvanZ
10 Aug 2023
For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Learn Python by coding 10 projects [Free 1.5 hour course]
Claim this Python course here for free:
https://www.udemy.com/course/10-mini-projects/?couponCode=CODING247

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

tengeneza simu zote zinazo zima kisa flash file
🆕 Apple imebadilisha kidogo mwonekano wa sehemu ya Settings katika simu za iPhone.

iOS18 itakuwa na sehemu mpya upande wa juu katika sehemu za Settings. Sehemu hii itakuwa inaelezea taarifa za Settings kwa ufupi.

Itakwepo katika iPhone, iPad na pia ipo kwenye macOS.
💡 ‘Digital Influencers’ wajifunze kutumia AI katika kurekebisha makosa madogo madogo ya uandishi kwenye Bio na Posts!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi Ya Kuondoa Mgawanyiko Wa Diski How To Remove Disk Partition Expand Disk Volume
Remove disk partition
Expand disk volume
Disk management
Maujanja
FAHAMU JINSI YA KUFANYA PARTITION KWENYE VIDEO HII ELEKEZI https://youtu.be/GSh7XFJUe50
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

47. Jifunze Zaidi Kuhusu 'NOT' Operators - Python Course Kwa Wanaoanza Kujifunza.
Katika video hii, tutajifunza kuhusu "The 'not' Operator" na jinsi ya kuutumia katika Python. Utagundua jinsi ya kutumia 'not' operator ili kubadilisha hali ya conditions na kufanya maamuzi yenye mantiki zaidi ndani ya programu zako. Tutapitia mifano ya kina na maelezo ya hatua kwa hatua ili kuhakikisha unaelewa vyema jinsi ya kutumia 'not' operator katika program yako ya Python.

Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe ili usipitwe na vipindi vijavyo!

🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Karibu katika channel yangu!

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na ninafuraha kuwa nawe hapa.

Kwenye channel yangu, utapata video za kuvutia kuhusu mambo mengi, ikiwa ni pamoja na teknolojia, afya, mazingira, sayansi, motisha, na mengi zaidi.

Ninaamini kwamba kila mtu ana uwezo wa kujifunza na kukua, na ninatumai video zangu zitakusaidia kufikia malengo yako.

Ili kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali:
👉...
🔴 Hatimaye app ya Twitter imeondolewa katika App Store ya Macs.

- App hii ilikuwa bado inapatikana kwenye Macs, ilikuwa inatumia jina na logo ya Twitter. Bado haifahamiki rasmi ni kwanini bado ilikuwa inaendelea kupatikana hata baada ya Twitter kubadilika na kuwa X