Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kubadilisha Maandishi Kuendana na Mtazamo Kwenye Picha | Perspective Text in Photoshop
Katika video hii, nitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kubadilisha maandishi ili yaendane na mtazamo wa picha. Ujuzi huu ni muhimu sana kwa wale wanaotaka kuboresha ubunifu wao katika kubadilisha picha na kufanya kazi za kitaalam kama vile matangazo, michoro, na project nyengine za ubunifu.

Utaweza Kujifunza:
📍Jinsi ya kuchagua zana sahihi za kubadilisha maandishi.
📍Mbinu za kuhakikisha maandishi yanaendana kikamilifu na mtazamo wa picha.
📍Vidokezo vya kitaalam vya kufanya maandishi yako yaonekane ya kweli zaidi.

Kwa Nini Uangalie Video Hii?
🤝Rahisi kufuata na kuelewa, hata kama wewe ni mgeni kwenye uhariri wa picha (Graphic Design).
🤝Mafunzo ya hatua kwa hatua na mifano ya vitendo.
🤝Tunatumia programu zinazopatikana kwa urahisi na zenye nguvu kama Adobe Photoshop.

Je, unataka kufanya maandishi yako yaonekane kama yamekuwa sehemu ya picha halisi? Video hii ni kwa ajili...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Perfect Electronics Workshop See how I built it, and you can build one too!
In this video I will show you my new workshop. I want to share with you how exactly I did it so that you might get inspired to improve your own lab/workshop
Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like this.
Standing desk for home office
FlexiSpot 8th anniversary sale with up to 50% discount:【 https://bit.ly/4frVkhr
My E7 desk from FlexiSpot : 【 https://bit.ly/4fvCXYX
****************************
Bambu Lab A1 3D Printer :【 http://shrsl.com/2loym-2yn7-1cwx9
****************************
the introduction 0:00
Unboxing the E7 desk from FlexiSpot 0:06
installation E7 desk 0:11
a test E7 1:16
Shelf installation 1:35
About FlexiSpot and Bambu Lab 1:46
Unboxing the A1 3D Printer from Bambu Lab 2:01
installation Bambu Lab A1 2:15
Bambu Lab A1 Settings 3:05
printer filament 3:29
Print the first model 4:11
3D Models website 4:52
writing on the...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno S1 Hard Reset Security Lock Password,Pin or Pattern Without PC
How To Unlock A Forgotten Tecno Pattern, pin, password Without Losing Files.

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno S1 Frp Remove Google Account Download Unlock Tool One Click Away!!!
TECNO S1 Frp Bypass Frp Remove With One Click New.

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS CONSTRUCTION WORKERS OF ANOTHER LEVEL
https://www.youtube.com/watch?v=e9-SXlMGw3c

https://www.tiktok.com/@ozcan_dekorasyon/video/7015583362542734594

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
🆕 Apple imeongeza sehemu mpya ya "Edit Pages" katika settings za Home Screen
🆕 Apple imeweka uhuru wa kubadilisha upande wa Carousel za Photos na itakuwa ni rahisi na shortcut rahisi ku-swipe katika kufungua folders za Photos
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa majaribio wa iOS 18 Beta toleo la 5
🆕 Apple imebadili mwonekano wa baadhi ya icons za Control Center katika iOS 18 Beta 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1820844017795412108#m
🆕 Apple imeboresha tena mwonekano wa icons zake katika Dark Mode
🆕 Google imeweka mfumo wa Lens na Gemini AI katika browser yake ya Chrome.

- Itakuwa ni rahisi kutafuta vitu unavyoona mtandaoni kwa kutumia Google Lens na kutumia AI katika kuperuzi mfano kuona summary za tovuti.
🆕 Safari itakuwa na mfumo wa kuondoa matangazo na taarifa ambazo hazina umuhimu kwenye tovuti.

Hii ni feature ya msingi sana na itasaidia sana katika kuperuzi mtandaoni
🆕 Odysee imetangaza rasmi haitaweka matangazo kwenye platform yake.

- Odysee ni jukwaa la kushirikisha video ambalo linaruhusu watumiaji kupakia, kutazama, na kushiriki video kama ilivyo kwa YouTube. Tofauti yake kuu inaruhusu watumiaji kuwa na umiliki zaidi juu ya maudhui yao.
🆕 Kwa mujibu wa JamiiForums, kampuni ya Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itaongeza itaanza kuwalipa waundaji wa maudhui nchini Tanzania kupitia Facebook na Instagram.

🔘 Pia mwezi huu kampuni ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa creators wa Kenya.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Deadpool & Wolverine Review | Hatua kwa Hatua
#marvel #deadpool #wolverine
Deadpool & Wolverine Review | Hatua kwa Hatua
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Review ya Deadpool & Wolverine Review nimeipa ujazo wa kutosha Youtube Hatua kwa Hatua #deadpoolwolverine Cc @mandasistore
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

10 Important Python Concepts In 20 Minutes
In today's video we are going to be learning about 10 important Python concepts.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Intro
00:05 .py files
00:35 Variables
01:33 Basic data types
03:00 Type annotations
04:57 Constants
06:14 Functions
09:40 Classes
10:05 Initialisers
12:24 Methods
15:18 Dunder methods
18:12 Conclusion
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

We are Launching More Channels!
Hello everyone, Please check out my mechanical engineering channel here - https://www.youtube.com/@MechanicalEngineering-bu5kf
The remaining channels will be in launched in 2-3 months.
Cheers Sabin Mathew