Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🔥 ZTE Nubia Red Magic 6s Pro
#Chuma
🆕 Katika ripoti mpya, kampuni ya Transsion ( ambayo inazimiliki Tecno, itel, Infinix, Oraimo, Scooper, Syinix na Carlcare) imeitoa kampuni ya Vivo katika Top 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1747309574497894764#m
Apple imeshika nafasi ya kwanza ya kuwa mtengenezaji mkubwa wa simu za mkononi duniani mwaka 2023, kulingana na data ya awali kutoka kampuni ya utafiti wa masoko ya IDC.

Hii ni mara ya kwanza kwa Samsung kupoteza nafasi ya juu kwa kampuni nyingine katika miaka 13. Ripoti inaonyesha kuwa mwaka 2023 Apple ilichukua asilimia 20.1% ya soko, huku Samsung ikiwa na asilimia 19.4%.

Apple ndiyo pekee kati ya kampuni tatu za juu zenye ukuaji mzuri kwa mwaka, ikiongeza usafirishaji kutoka idadi ya simu milioni 226.3 hadi milioni 234.6. Hii inatokea licha ya changamoto za kisheria na ushindani kutoka kwa Huawei nchini China.

Kushuka kwa Samsung kunachukuliwa kama matokeo ya mauzo mazuri ya iPhone 14 na iPhone 15, pamoja na ushindani katika soko la Android kwa kurudi kwa Huawei nchini China.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Smartphone + xbox controller + smart TV = Playstation or xbox Powered by @PHONE POINT DAR
🆕 Google imepunguza mamia ya ya wafanyakazi katika team yake ya mauzo

🔘 Swala la kampuni za tek kupunguza wafanyakazi limekuwa ni ugonjwa usiotibika!

🔘 Kwa mwaka 2024 mpaka sasa, kampuni nyingi za teknolojia zimepunguza zaidi ya wafanyakazi 10,000
📰 Jarida jipya la Techlife limetoka!

Link: t.me/swtek/378
⚖️ Mahakama Kuu imekataa kusikiliza rufaa ya Apple na Epic Games kuhusu ushindani kwenye Duka la Programu.

🔘 Uamuzi huo unaruhusu developers kuelekeza wateja kwenye tovuti zao, na itapelekea kupunguza "kodi ya Apple."

🔘 CEO wa Epic Games, Tim Sweeney, asema "mapambano yanaendelea."

🔘 Hii ni hatua kubwa ya kuruhusu developers kuwa na uhuru wa kupata option mbalimbali za kuwezesha watumiaji kulipia huduma mbalimbali bila kulazimika kutumia mfumo wa malipo wa Apple.
1
Samsung Galaxy S24 Ultra ukiilinganisha na S23 Ultra
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 COOL WINTER INVENTIONS YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) Timbersled Gen 2 RIOT 3


2) ATR Orbiter


3) Sw
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT Plus vs Free
🚀 Dive into the ultimate comparison of ChatGPT Plus vs Free! 🚀

Are you trying to decide between ChatGPT Plus and the free version? Look no further! In this comprehensive video, we break down the differences, benefits, and limitations of each to help you make an informed decision.

🔍 What You'll Learn:

The key features of ChatGPT Plus and how they stack up against the free version.

Performance analysis: Response time, server access, and user experience.

Cost-benefit analysis: Is ChatGPT Plus worth the investment?
Real-world user testimonials and feedback.

📈 Maximize Your ChatGPT Experience:

Understand the nuances of AI-powered conversations.
Discover tips and tricks to enhance your interactions with ChatGPT.
Learn how to leverage ChatGPT for productivity, learning, and entertainment.

💡 Stay Ahead of the Curve:

Get the latest updates on OpenAI's offerings.
Explore the future of AI chatbots an...
🆕 Kampuni ya Honda imebadilisha nembo yake na imeshangaza sana watumiaji wengi kwa sababu tangu mwaka 1981 ilikuwa inatumia logo yake ambayo imekuwa maarufu.

Tetesi hizi zilianza katika maonyesho ya CES ambapo Honda ilionyesha gari yake ya umeme ambayo inaitwa Series Zero ikiwa na alama mpya ya H (ikimaanisha herufi ya mwanzo ya Honda).

Tayari wakuu wa Honda na wafanyakazi wake wamethibitisha kuwa logo yake inabadilishwa. Logo mpya haina shape ya mduara unaozunguka logo kama ilivyokuwa inaweka nembo yake kwenye magari na piki piki.

Inaonekana kwamba tutalazimika kusubiri miaka kadhaa kuona magari mapya yanaanza kutumia nembo mpya. Toleo la gari ya umeme ya Saloon ya Series Zero itatoka rasmi mwaka 2026.

Wakati huo huo, SUV mpya ya umeme ya Honda ya mwaka 2024, ambayo inaitwa Prologue, ambayo inatengenezwa na kampuni ya GM, itaendelea kutumia toleo la zamani la nembo.

Haifahamiki kama gari na pikipiki zote za Hondas ambazo sio za umeme zitakuwa na logo ipi, lakini Honda ina ...

View original post