🆕 WhatsApp imeongeza style mpya za kuandika ujumbe
Sasa hivi utagundua inaweza kutambua orodha ya maneno ambayo yamejipanga katika mfumo wa namba Mfano 1. 2. 3. na ukiandika Enter inaweza kuongeza namba mpya chini ya namba ya mwisho kuitumia.
Pia imeanza kutambua style ya Bullet points hivyo unaweza kuandika list/orodha na ukiandika “Enter” inaweza kuendeleza kwa alama ya Bullet na kupanga chini ya bullet ya mwisho kuandika.
Pia kwa developers, imeanza kuweka style ya kuonyesha code ilipoanza na kuishia. Alama hii inaweza kutenganisha code na maneno ya kawaida ambayo yapo kwenye message.
Watumiaji wataweza kutumia alama za >, *, -, ‘, mwanzo na mwisho wa sentensi kupata shortcut ya kutumia aina mpya za uandishi.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
How do Digital and Analog Clocks Work?
Go to for a 30-day free trial and expand your knowledge. The first 200 people wi

Samsung Galaxy S24/Ultra Impressions: More Than Meets The Eye!
Galaxy S24 and S24 Ultra have iPhone-ized their rails, bu

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
BEST Practises For SIMPLE Benchmarking In Python
In this video I'll be sharing with you some of the best practises when

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►
1) Shenhao Digital Safety Supervisor
2)
CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►
1) Shenhao Digital Safety Supervisor
2)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Tecno Pop 7 Pro Hard Reset Tacno BF7h PinPattern Lock Remove With Pc
tecno pop 7 pro hard reset,tecno pop 7 pro frp bypa

Tecno Pop 7 Frp Bypass Android 12 With Pc Tecno BF7 Frp Tecno Pop 7 Google Account Bypass
tecno pop 7 frp bypass android

AI Photo Editor
Simu za Galaxy S24 series zina uwezo mkubwa wa ku-edit picha. Sasa hivi zinafanana na simu za Google Pixels. Mfano unaweza kuhamisha na kufuta vitu au watu kwenye picha.

Pro Visual Engine:
Samsung imeweka akili bandia katika mfumo wa kamera. Hii itasaidia kuboresha resolutions za picha, kurekebisha matatizo kama vile mwanga na kuongeza ubora wa picha.

Kutengeneza Summary:
Watumiaji wa simu mpya za Samsung wataweza kutumia AI kupangilia notes na documents. Mfano unaweza kupangilia notes zako kuwa documents ambazo zimejipanga vizuri.