Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
bongotech255 - Whatsapp mtandao pendwa ulimwenguni...
bongotech255 - Home | Facebook

Whatsapp mtandao pendwa ulimwenguni tutegeme muda sio mrefu kupatikana feature mpya kwenye simu za watumiaji wake wote wa Whatsapp ulimwenguni kuanzia android na iphone.

1) kutumia akaunti moja kwenye simu nne Mtumiaji wa Whatsapp sasa ramsi atakua na uwezo wa kutumia akaunti moja kwenye vifaa vinne tofauti , utaweza ku login kwenye akaunti yako moja kwenye simu nne meta walisema. Mwanzoni ilikua kwenye computer, tablet pamoja na browser sasa utaweza kutumia kwenye simu yako. 2) Linda chati zako kwa password Wiki hii mark Zuckerberg aliweza kusema kuwa sasa unaweza kuzifanya chati zako kuwa private Zaidi kwa kuweka password kwenye chati...

View original post
May 21, 2023 at 04:12PM
May 21, 2023 at 04:56PM
4KB
May 24, 2023 at 04:09PM
May 24, 2023 at 06:07PM
4KB
May 25, 2023 at 04:15PM
bongotech255 - Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri...
bongotech255 - Home | Facebook

Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri ina mambo mengi sana inarahisisha simu kuonekana simple sana.

Kupitia simu unaweza andika ujumbe haraka sana bila kugusa keyboard Ikiwa labda unaendesha gari au umeshika begi , unapika nk basi unaweza tuma ujumbe bila kushika simu mkononi. Lakini siri inaweza fanya Zaidi ya hayo unayoyajua, najua apple haiwezi kukuambia kila kitu ila kilichopo kwenye iphone ila kazi Yetu kuwajuza kwa yale msiyoyajua Leo nakuambia baadhi 👇 1) Quick find password for app & website Unajua kwenye simu zetu unaweza ku save passwords toka kwenye app ambazo ume sign au login kupitia icloud keychain kwenye iphon...

View original post