Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Daaaah sasa hii corona na hivi vitu sijui itakuaje 🤣🤣🤣 haya jamani kaeni tayari soon tutawajuza kuhusu sifa na...

https://www.instagram.com/p/B_hMAwjAoZh/media?size=l

Daaaah sasa hii corona na hivi vitu sijui itakuaje 🤣🤣🤣 haya jamani kaeni tayari soon tutawajuza kuhusu sifa na bei endelea kutembelea page yetu
@chamomobile na usisahau kufollow @chamomobile
@chamomobile
Kwa mawasiliano zaidi 0672988464

#tecno #tecnospark4 #tecnospark5 #camon15 #camon15pro #tecnomobile
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
TSH 310,000 🌹...

https://www.instagram.com/p/CAEq5eUAOpY/media?size=l

TSH 310,000 🌹
TECNO Spark 5, simu ambayo ni toleo la maboresho kutoka kwenye simu za Spark 4 ambazo zilizinduliwa mwaka jana 2019.
Simu hii mpya ya TECNO Spark 5 inakuja na maboresho mengi sana ikiwa pamoja na uwezo zaidi wa kamera pamoja na battery.
Tukianza na upande wa kioo, simu hii mpya ya Spark 5 inakuja na kioo cha inch 6.6, kioo ambacho kime tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD huku pia kikiwa na uwezo wa kuonyesha picha na video za hadi resolution ya hadi pixel 720 kwa 1600.
🔥🔥
Kwa juu simu hii inakuja na kamera ya Megapixel 8, kamera ambayo ipo juu ya kioo ambayo pia ina saidiwa kupiga picha za selfie zenye mwanga kwa kutumia flash ya LED. Simu hii pia inakuja na teknolojia ya AI au Artificial Intelligence, hivyo tegemea kupata picha za selfie zenye mwanga na rangi bora zaidi.
🔥🔥
Kwa nyuma, simu hii inakuja na kamera nne ambapo kamera kuu inakuja na Megapixel 13, nyingine mbili zikiwa na Megapixel 2 kila moja, na kamera ya mwisho ikiwa na Megapixel 0.3. Kamera zote kwa pamoja zina saidiwa na teknolojia ya AI pamoja na LED Flash nne, huku kamera hizo kwa pamoja zikiwa na uwezo wa kuchukua video za hadi pixel 1080p@30fps.
🔥🔥🔥♥️
Kwa upande wa sifa za ndani, TECNO Spark 5 inakuja na processor yenye speed ya hadi Octa-core (4×2.0 GHz Cortex-A53 & 4×1.8 GHz Cortex-A53). CPU hiyo ina saidiwa na RAM ya GB 2 pamoja na uhifadhi wa ndani wa hadi GB 32. Unaweza kuongeza uhifadhi huo kwa kutumia memory card ya hadi GB 256.
🔥🔥🔥😜
Mbai na hayo simu hii inakuja na mfumo mpya wa Android 10 huku juu yake kukiwa na mfumo wa wa HiOS 6.1, pia simu hii inakuja na sehemu ya fingerprint ambayo ipo kwa nyuma, Radio FM pamoja na sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama headphone jack.
🔥🔥🔥 TECNO Spark 5 pia inakuja na uwezo wa mtandao wa hadi 4G.
🔥🔥
Kwa upande wa battery simu hii inakuja na battery kubwa ya 5000 mAh, ambayo imetengenezwa kwa teknolojia ya Li-Po. Battery ambayo inaweza kudumu na chaji kwa siku nzima kulingana na matumizi yako, pia vilevile Spark 5 ni moja kati ya simu za TECNO zenye teknolojia ya Fast Charging ambayo husaidia simu kujaa chaji kwa haraka
📞
+255672988464
#tecnospark5 #tecno