Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kufungua Account ya PAYONEER, Tuma na pokea pesa Nchi Zote
katika video hii utajifunza jinsi ya kufungua account ya PAYONEER.

link:-

utaelewa hatua zote kwajili ya kufungua account ya PAYONEER pamoja na verification ya account ya PAYONEER.
Payoneer iko bora zaidi kwa upande wa nchi zetu kuliko hata Paypal.
kwa walio kuwa wakipata changamoto za kupokea pesa Paypal Basi wanaweza tumia hii

#payoneer