Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#NOKIAC1 #BEI #TSH 185,000 🔥🔥 #NO 0672988464...
https://www.instagram.com/p/B_MiFnJgOtg/media?size=l
#NOKIAC1 #BEI #TSH 185,000 🔥🔥 #NO 0672988464
Simu hii mpya ya Nokia C1, inakuja na kioo chenye ukubwa wa inch 5.45 kioo ambacho kimetengezwa kwa teknolojia ya IPS LCD ambacho pia kinakuja na resolution ya hadi pixel 720 kwa 1440.
Kwa upande wa kamera, Nokia C1 inakuja na kamera ya mbele ya Megapixel 5 huku ikiwa na uwezo wa kuchukua video za resolution ya hadi 720p@30fps. Kamera hiyo pia inakuja na sehemu ya Flash ambayo husaidia kupiga picha za selfie wakati wa usiku.
Kwa nyuma Nokia C1 inakuja na kamera moja ambayo nayo pia inakuja na uwezo wa Megapixel 5, huku ikiwa inasaidiwa na Flash ya LED pamoja na teknolojia ya HDR. Kamera hii pia ina uwezo wa kuchukua video za hadi 720p@30fps.
Sifa nyingine za Nokia C1 ni kama zifuatazo.
🇹🇿
Sifa za Nokia C1
🌻🌻🌻🌻
Ukubwa wa Kioo – Inch 5.45 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1440 pixels.
Mfumo wa Uendeshaji – Android 9.0 Pie (Go edition)
🌻🌻🌻🌻
Uwezo wa Processor – Quad-core 1.4 GHz.
🌻🌻🌻🌻
Aina ya Processor (Chipset) – Unisoc (28nm)
Ukubwa wa Ndani – GB 16
🌻🌻🌻🌻
Ukubwa wa RAM – GB 1.
🌻🌻🌻🌻
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5.
Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 5.
Kamera zote zinasadiwa na Flash ya LED flash.
🌻🌻🌻🌻
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-po 2500 mAh.
🌻🌻🌻🌻
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bluetooth 4.2, A2DP, LE
na GPS ya A-GPS. USB ya micro USB 2.0, USB On-The-Go.
🌻🌻🌻🌻
Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
🌻🌻🌻🌻
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G, 4G
📞📞📞
Kwa mawasiliano zaidi tupigie
0672988464 @chamomobile
#nokia #nokiac1 #nokiac2 #hatuumizani #android