Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MBOSSO | MAMBO 10 USIYOFAHAMU
#mbosso #wasafi #wcb
Kupitia episode hii tutaangazia safari ya maisha ya marombosso hadi kuwa Mbosso Khan mwenye mafanikio kede

0:00​ | Introduction
0:57​ | Historia ya Mbosso
1:39​ | Ndoto yake katika soka (mpira wa miguu)
2:17​ | Mkubwa fella alivyomnyanyua Mbosso
3:07 | Kusambaratika kwa yamoto band Aslay,Beka Flevour na Enock
3:41 | Uhusiano wa Mbosso na Rayvanny
4:31​ | Rayvanny apigiwa debe na Mbosso?
5:20​ | Documentary ya Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
6:32 | Mbosso tatizo lake la kiafya la kutetemeka
7:15​ | Dili nono alilosaini Mbosso na Samsung Tanzania
7:52​ | Mbosso anajiita mbosso khan, Kwanini?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James