Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
KWANINI TUNAENDESHA UPANDE WA KUSHOTO WA BARABARA?
#jewajua
Kwa nchi kama Tanzania tumezoea kuona magari yakiendeshwa upande wa kushoto wa barabara. KWANINI TUNAENDESHA UPANDE WA KUSHOTO WA BARABARA?
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

InstantView from Source
YouTube
HIVI NDIVYO WANYAMA WANAVYOTUONA 😱😱
#wanyama #jewajua
Labda nianze kwa kukuuliza swali, unadhani hivyo unavyoyaona mazingira yako ndivyo yalivyo? Kama ndio,niambie kwanini hatuoni mionzi inayotolewa na simu,bluetooth na wifi..tunajua kabisa kuwa kuna mionzi inasafiri kuja na kutoka kwenye vifaa…
Labda nianze kwa kukuuliza swali, unadhani hivyo unavyoyaona mazingira yako ndivyo yalivyo? Kama ndio,niambie kwanini hatuoni mionzi inayotolewa na simu,bluetooth na wifi..tunajua kabisa kuwa kuna mionzi inasafiri kuja na kutoka kwenye vifaa…
InstantView from Source
YouTube
UTADHANI NI UONGO, HUU NI UKWELI 100% (PART 5)
#jewajua #habari #uongo
Wakati "habari feki" zinazagaa kwa haraka katika mitandao ya kijamii, imekuwa ngumu kutofautisha ukweli na uongo. Lakini, sio vitu vyote vigumu kuaminika ni vya uwongo. Kwa mfano, Unaweza kuniamini ikiwa nikikwambia kwamba kuna nchi…

#JeWajua Unaweza kutumia emoji zaidi ya moja ; kutengeneza stickers au picha yoyote
📲 #JeWajua Simu ya Xiaomi Redmi Note 12 Discovery ni moja kati ya simu inayoongoza duniani kwa kuwa na fast charger yenye speed zaidi.
⚡️ Inatumia 210W kwa waya na inafika charge ya 100% kwa dakika 9 tu!