Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
KWANINI WANAUME TULIACHA KUVAA VIATU VYA KISIGINO?
#fashion #HighHeels
Vipi nikikwambia kwamba viatu vya kisigino vilitengenezwa kwa ajili ya wanaume tu? katika karne zilizopita, wanaume walivaliaa viatu hivyo bila wasiwasi wowote ule. Tofauti na jinsi viatu hivyo vinavyotumiwa leo na wanawake kama fashion,zamani zile vilivaliwa kwa dhumuni tofauti kabisa.
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James