Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU JAMES BOND
#Jamesbond #2021movies
James bond ni moja ya filamu za mfululizo maarufu zaidi duniani,kabla hatujafika mbali, tambua kuwa filamu za Bond zimejikita kwenye riwaya ya mtunzi na mwandishi Ian Fleming, ambae toleo la kwanza la kitabu chake kumhusu jasusi aliyempa jina la James bond lilitolewa mwaka 1953...Kwenye filamu, James bond alianza kuonekana tangu miaka ya 60 na uhusika huo umechezwa na waigizaji 7,Sean Connery,David Niven, George Lazenby, Roger Moore, Timothy Dalton, Pierce Brosnan, na Daniel Craig.

0:00​ | Introduction
1:04​ | Wadhifa wa James Bond
1:44 | Historia ya James bond
2:30​ | Movie ya kwanza ya Daniel Craig
3:19 | Kwanini James Bond inabadilisha waigizaji?
4:07 | Kwanini Pierce Brosnan alifukuzwa kutoka Bond?
4:48​ | Daniel Craig alikosolewa sana
5:32​ | Filamu za Craig,Quantum of Solace,skyfall,na S ...