Teknolojia
130 subscribers
3.84K photos
4.8K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

MWELEKEO WA KITEKNOLOJIA 2024 (#TechTrends 2024) - #ComradeMokiwaNaTeknolojia
Karibu Kona ya Teknolojia.

Leo fahamu mwelekeo wa sekta ya teknolojia kwa 2024 (Tech Trends 2024).

Leo nitafocus kwenye mambo kadhaa;
• Akili Bandia / Akili Mnemba(Artificial Intelligence - AI)
• Teknolojia za VR na AR (Augmented Reality & Virtual Reality)
• Intaneti ya Vitu (IoT).
• Teknolojia ya 5G

Kama kuna lolote ambalo haujaweza kulielewa vizuri, unaweza uliza kwenye comment. Usisahau kusubscribe.