InstantView from Source
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU RAY VICENT KIGOSI
#raykigosi #kanumba
Unapozungumzia mapinduzi ya filamu nchini Tanzania huwezi kuacha kulitaja jina la Vicent Kigosi almaarufu kama Ray. Yeye pamoja na marehemu steven Kanumba walichangia kuleta mabadiliko makubwa katika sanaa ya uigizaji na ni moja wa waigizaji…

bongotech255 - Moja kati ya jambo zuri Kwa watumiaji wa...
bongotech255 - Home | Facebook
Moja kati ya jambo zuri Kwa watumiaji wa simu za Android ni uwezo wa kupakua emalutor mbalimbali na kucheza game kwa mfumo wa pad kupitia simu.
Watu wengi waliku wana enjoy kupitia hii njia lakini sasa Kuna taarifa nzuri zaidi kuwa simu yako itaweza kupokea game za playstation na kucheza. Program ya vita3k itaanza kupatikana rasmi jumapili, utaweza Kuinstall kwenye simu yako baada ya hapo utaweza kucheza game za playstation Vita. Developer macdu amesema program Yao ya vita3k haitopatikana kwenye soko la playstore isipokuwa kupitia tovuti ya discord channel utaweza kuipata iyo app pamoja na update zake. Ila hakikisha simu yako imekidh...
View original post

bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook
watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.
Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la...

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA MOVIE (PART 4)
#movie #wakanda #bts
Katika hii episode tunakwenda kuangazia filamu ya Hollywood iitwayo Black panther, wakanda forever ya mwaka 2022 iliyoongozwa na na kuchezwa na watu weusi..Director ni Ryan Coogler kutokea marekani na round hii role ya black panther imechezwa…

WhatsApp Kuja Na Uwezo Wa Kutuma Picha Kwa Ukubwa Ule Ule Bila Kuupunguza Hivi Karibuni!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
WhatsApp Kuja Na Uwezo Wa Kutuma Picha Kwa Ukubwa Ule Ule Bila Kuupunguza Hivi Karibuni!
Mara kwa mara WhatsApp wamekua wakitoa masasisho mbalimbali ili kuhakikisha kuwa wateja/watumiaji wake wanapata kile kilicho bora kutoka kwao.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako
subscribe for more videos 👇👇 our new channel
https://youtube.com/@bongotech255_
Old got suspended 😔
#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255

Saved by @download_it_bot