Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Natumai mwaka 2022 umejifunza mengi kuhusu...
bongotech255 - Home | Facebook

Natumai mwaka 2022 umejifunza mengi kuhusu teknolojia kwenye page Yetu 😌 Tulipokosea mtusamehe

Unalipi la kusema kuhusu page Yetu kwa mwaka 2023 mdau wetu toa maoni yako , ushauri na kitu chochote kipi cha kuongeza au kupunguza !! Vitu ambavyo umeridhika au bado ujaridhika kuhusu ubora wetu wa sauti, picha , Maelezo nk tuambie tujue 👇 Maana teknolojia ni Yetu sote
bongotech255 - 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 wameleta feature mpya inaitwa clear...
bongotech255 - Home | Facebook

𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 wameleta feature mpya inaitwa clear calling ambayo inaondoa kelele kwenye simu yako wakati unapiga simu.

Kuna nyakati unajikuta unampigia mtu simu akipokea unakuta Kuna kelele za pembeni zinajitokeza na kusababisha kutosikika vizuri kupitia simu na kushindwa kuelewa. Inawezekana Uko kwenye bajaji , pikipiki au kwenye mkusanyiko wa watu hali hii inakera Sana ya kupokea simu na kusikia sauti za watu sasa google wakaamua kuletea feature mpya inaitwa Clear calling Mtumiaji atakua na uwezo wa kuzuia kelele ambazo zinasababisha mtu asiweze kusikia vizuri pia anapoongea kwenye simu. Mwanzoni hii feature ilikua inatumika...

View original post
bongotech255 - Home | Facebook

Jipatie mouse pad original kabisa kwa ajili ya laptop au desktop yako

Toka @hyatzcomputers

@zirene_laptop_accessories_tz

@wikeltechnologies_tz … See more
bongotech255 - Home | Facebook

𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 ni moja wa mtandaoni unaotumiwa sana na watu wengi ulimwenguni kwa kuwasiliana kwa njia ya ujumbe, picha , videos , sticker nk unajulikana kama mtandao salama.

Lakini sio kila mtumiaji wa Whatsapp yuko Yuko salama!! Watu wengi wamekua wakilalamika kupata matukio ya kuzuiwa kutumia WhatsApp either kwa kujua au kutokujua.

Kuna kitu kinaitwa Whatsapp banned ? Je ni kitu gani ?

𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽… See more

Habari mwalimu samahani naomba nisaidie namba yako ya simu