Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - simu zimekua msaada muhimu kwenye maisha,...
bongotech255 - Home | Facebook

simu zimekua msaada muhimu kwenye maisha, Kuna wakati unajikuta umepoteza au kuibiwa simu yako utafanyaje ?

Find device ni huduma ambayo inapatikana kwenye simu za android, iOS, Mac os , ipad na tablet itakusaidia kutafuta simu ikiwa imepotea au kuibiwa kwa kuweza ku - track ,ku-lock pamoja na kufuta taarifa Zako zote muhimu kwenye simu. Watumiaji wa Iphone, Tablet , Mac os , ipad fanya hivi 👇 Ingia setting Kisha search find my alafu weka on Kama utahitaji MARAFIKI zako wajue eneo uliopo ikiwa umepoteza simu yako weka on share my location pia ukitaka kutumia offline weka on find network. Watumiaji wa Android Sasa unaweza kudownlo...

View original post
bongotech255 - Home | Facebook

𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 wameleta feature mpya inaitwa clear calling ambayo inaondoa kelele kwenye simu yako wakati unapiga simu.

Kuna nyakati unajikuta unampigia mtu simu akipokea unakuta Kuna kelele za pembeni zinajitokeza na kusababisha kutosikika vizuri kupitia simu na kushindwa kuelewa.

Inawezekana Uko kwenye bajaji , pikipiki au kwenye mkusanyiko wa watu hali hii inakera Sana ya kupokea simu na kusikia sauti za watu sasa google wakaamua kuletea feature mpya inaitwa Clear calling

Mtum… See more

Inapatika kwa watumiaji wa version 13

Funguka Efatha eeeh
bongotech255 - simu zimekua msaada muhimu kwenye maisha,...
bongotech255 - Home | Facebook

simu zimekua msaada muhimu kwenye maisha, Kuna wakati unajikuta umepoteza au kuibiwa simu yako utafanyaje ?

Find device ni huduma ambayo inapatikana kwenye simu za android, iOS, Mac os , ipad na tablet itakusaidia kutafuta simu ikiwa imepotea au kuibiwa kwa kuweza ku - track ,ku-lock pamoja na kufuta taarifa Zako zote muhimu kwenye simu. Watumiaji wa Iphone, Tablet , Mac os , ipad fanya hivi 👇 Ingia setting Kisha search find my alafu weka on Kama utahitaji MARAFIKI zako wajue eneo uliopo ikiwa umepoteza simu yako weka on share my location pia ukitaka kutumia offline weka on find network. Watumiaji wa Android Sasa unaweza kudownload app kupitia soko la play store Kisha • fungua hiyo app find my device • chagua Email yako unayotaka kutumia • b...

View original post
bongotech255 - 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 wameleta feature mpya inaitwa clear...
bongotech255 - Home | Facebook

𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 wameleta feature mpya inaitwa clear calling ambayo inaondoa kelele kwenye simu yako wakati unapiga simu.

Kuna nyakati unajikuta unampigia mtu simu akipokea unakuta Kuna kelele za pembeni zinajitokeza na kusababisha kutosikika vizuri kupitia simu na kushindwa kuelewa. Inawezekana Uko kwenye bajaji , pikipiki au kwenye mkusanyiko wa watu hali hii inakera Sana ya kupokea simu na kusikia sauti za watu sasa google wakaamua kuletea feature mpya inaitwa Clear calling Mtumiaji atakua na uwezo wa kuzuia kelele ambazo zinasababisha mtu asiweze kusikia vizuri pia anapoongea kwenye simu. Mwanzoni hii feature ilikua inatumika kwenye google meeting ila Sasa kwenye simu za android. Jinsi ya kuweka 𝗰𝗹𝗲𝗮𝗿 𝗰𝗮𝗹𝗹𝗶𝗻𝗴 kwenye simu ya...

View original post
حقوق النشر محفوظة Meta © ‏2022‏
InstantView from Source
bongotech255 - Tukielekea ukingoni mwaka 2022, Duniani...
bongotech255 - Home | Facebook

Tukielekea ukingoni mwaka 2022, Duniani watumiaji wa simu za smartphone zaidi ya watu billion 7.26 ni sawa na asilimia 90.72% ya watu wote waliopo ulimwenguni.

Je unazijua simu kali kwa mwaka 2022 👇 1️⃣ Samsung Galaxy S22 Ultra Specs: • Display Amoled + screen inch 6.8 • Ram 8/12GB • storage 128GB / 256GB /512GB /1TB • battery 5000mah • Cameras: 108+12+10+10MP (rear), 40MP (mbele) 2️⃣ Apple 14 Pro • Display OLED + 6.inches • Processor A16bionic • Ram 6GB • Storage 128GB / 256GB /512GB /1TB • battery 3200mah • camera 48+12+12MP (rear), 12MP mbele 3️⃣ Google pixel 7Pro • display OLED + 6.7inches • Processor Google Tensor 2 • Ram 12Gb •...

View original post