Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.01K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Waiting for instantView...
bongotech255 - Telegram ni Moja wapo ya program Bora sana...
bongotech255 - Home | Facebook

Telegram ni Moja wapo ya program Bora sana ulimwenguni watu utumia kwenye kuchati kutuma vitu kama vile Whatsapp.

Mtumiaji wa telegram anaweza kutumia kitu chenye ukubwa wa 4Gb bila shida yoyote kuliko Whatsapp. Telegram iliachiwa mwaka 14 August 2014 Mpaka kufikia 2021 ilikua na jumla ya watumiaji milioni 500 ulimwenguni. Kwenye telegram kuna tabia fulani hivi ya kupata ujumbe kila Nyakati wakati mtu uliyekua na namba yake anapojiunga kwenye telegram basi wewe unapokea ujumbe fulani amejiunga telegram ?? Najua inakera sana sio !! ๐Ÿ˜‰ Unajikuta una namba za simu za watu zaidi ya 1000 alafu wanajiunga telegram kila siku basi Unaji...

View original post
bongotech255 - Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji...
bongotech255 - Home | Facebook

Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji simu ukiweka kwenye kompyuta yenye virusi unaweza kuathilika pia kwenye simu yako.

Kuna kirusi kinaitwa ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ท๐—ฎ๐—ป ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ ni kirusi ambacho mara nyingi unakikuta kwenye kompyuta kinajitengeneza baada kupakua file au kitu chochote mtandaoni chenye kirusi. Kinajiweka chenyewe kwenye kompyuta yako bila wewe kujua na kujipa jina la Dll files. Kikikupata icho kirusi kinatengeneza mfumo Kinachojiendesha mwenyewe na kuifanya kompyuta yako๐Ÿ‘‡ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ธ ikiwa simu yako umeunganisha na USB kwa ajili ya...

View original post
bongotech255 - Home | Facebook

Telegram ni Moja wapo ya program Bora sana ulimwenguni watu utumia kwenye kuchati kutuma vitu kama vile Whatsapp.

Mtumiaji wa telegram anaweza kutumia kitu chenye ukubwa wa 4Gb bila shida yoyote kuliko Whatsapp.

Telegram iliachiwa mwaka 14 August 2014 Mpaka kufikia 2021 ilikua na jumla ya watumiaji milioni 500 ulimwenguni.โ€ฆ See more

Natumia sikuzote ninaweza futa hata fb ila siyo Telegram