Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.01K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - Hatimaye ule msemo unaosema sema Subira...
bongotech255 - Home | Facebook

Hatimaye ule msemo unaosema sema Subira yavuta kheri unafanya kazi bhana. ๐Ÿ˜‰

Moja Kati ya features Watumiaji wengi wa ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ walikua Wanaisubiri kwa hamu ni uwezo wa kutumia WhatsApp Moja kwenye simu mbili tofauti. Hatimaye ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ wameamua kuileta features ya kuweza kutumia akaunti Moja ya Whatsapp kwenye simu mbili tofauti. Mwanzoni ilikua mtu akihitaji kutumia ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ Moja kwenye simu nyingine ilikua haiwezekani, Mpaka hatumie mfumo wa ku scan link device (WhatsApp web)ila sasa watumiaji wa WhatsApp. Watakua na uwezo wa kutumia akaunti zao za WhatsApp kwenye simu zaidi ya Moja kama ilivyo Instagram, Face...

View original post
Waiting for instantView...