Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.49K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Wallpaper nzuri za kuweka kwenye simu yako...
bongotech255 - Home | Facebook

Wallpaper nzuri za kuweka kwenye simu yako na kuifanya kuwa ya kuvutia sana

Unaweza zipakua kwenye chaneli Yetu ya Telegram kwa jina la #bongotech255 Utazikuta full zikiwa na Ubora wa hali ya Juu 🙃 #wallpaper #hdwallpaper #smartphonewallpaper #bongowallpapers #wallpapertz #wallpapersticker #technologytrends #simu #bongotech255
bongotech255 - WhatsApp kila siku wamekua wakiongeza...
bongotech255 - Home | Facebook

WhatsApp kila siku wamekua wakiongeza vipengele vipya kwa watumiaji wake ili waweze kufurahia huduma yao.

Ukifanikiwa kufanya update ya Whatsapp yako utakutana na features mpya zenye kuvutia zaidi kwenye WhatsApp 👇 🔻 Kupitia WhatsApp sasa unaweza kujitumia ujumbe wewe mwenyewe bila kutengeneza link. zamani ilikua mtu akihitaji kujitumia ujumbe mpaka aweke wa.me/+255.. lakini sasa unajitumia tu ujumbe bila kutengeneza link Fungua >> WhatsApp>> bonyeza sehemu ya kutuma ujumbe>> utaona (jina lako) jitumie ujumbe 🔻 Watumiaji wa WhatsApp sasa watakua na uwezo wa kutengeneza video au audio call kupitia link tu na kuwatumi...

View original post
Update je browser
InstantView from Source
bongotech255 - Elon mask ana mpango wa kuja kufunga...
bongotech255 - Home | Facebook

Elon mask ana mpango wa kuja kufunga intaneti ya starlink nchini Tanzania kuanzia mwakani 2023 ili kuja kuongeza maendeleo ya kiuchumi ya kidigitali.

SpaceX ndiyo wamiliki wa huduma iyo, huwaunganisha watu na kufanya mawasiliano kwa kutumia intaneti ya maelfu ya satellite yaliyopo angani. Huduma hii mpya ya intaneti itachochea kupatikana kwa maendeleo ya kidigitali iwapo itauzwa kwa bei nzuri na kutoa intaneti yenye Kasi zaidi ya bei nafuu. Kupitia tovuti yao ya starlink wamesema wana mpango wa kuileta huduma iyo kuanzia kati January na march inategemea na mamlaka wamelipokeaje. Mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano Tanzania (TCRA) Wamese...

View original post
Update je browser
InstantView from Source