Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.5K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.

Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝗭𝗘𝗥𝗢 𝗨𝗹𝘁𝗿𝗮 imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na...

View original post
It looks like a file link