Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
LITAZAME BWAWA KUBWA AFRICA LA UMEME LINAKAMILISHWA JULIUS NYERERE HYDRO POWER PROJECT MAGUFULI DAM
bongotech255 - Ikitokea Laptop au desktop unayotumia ikafa...
bongotech255 - Home | Facebook

Ikitokea Laptop au desktop unayotumia ikafa speakers zake hivi unajua Simu yako unaweza ifanya ikawa speaker kwa ajili ya laptop au desktop yako.

Najua Kompyuta nyingi zimekuja zikiwa speakers ndani yake lakini ikitokea Sauti inayotoa kwenye speakers za kifaa chako sio nzuri inakerakera basi simu yako unaweza ifanya ikawa speaker yako. Kuna kitu kinaitwa ๐—”๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ผ๐—ฅ๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜†, Ni program nzuri sana ya kuweza kukusaidia kuifanya Simu yako kuwa speakers baada ya speaker zilizopo ndani ya kifaa chako cha laptop au desktop kufa au kutoa sauti sio nzuri. Itakusaidia kuifanya Simu yako kuwa speakers kwa kutumia mfumo wa wireless PC Speak...

View original post
bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.

Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ญ๐—˜๐—ฅ๐—ข ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na t...

View original post