Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ambayo simu yako itatuma Mesage Automatic kwa Mpenzi wako au Rafiki Bila kushika simu #simukitaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KIZZ DANIEL
#kizzdaniel #buga
Kizz Daniel ambae kwa sasa anatamba na BUGA ft. Tekno ni mmoja wa wasanii mahiri katika tasnia ya muziki kutokea Nigeria na ameshinda tuzo nyingi na kutambuliwa kimataifa....

0:00​ | Introduction
0:36​ | Historia ya Kizz Daniel
1:21​ | Mziki,shule na ombi la baba yake
2:13​ | Kiss Daniel Hit song
2:54 | Mchango wa bosi wake kwenye Woju
3:46 | Urafiki wa karibu na baba yake mzazi
4:47​ | Kuvunja mkataba kama Harmonize na Wizkid
5:38​ | Sababu ya Kizz Daniel kuvunja mkataba na G worldwide
6:19 | Wimbo wa Kizz Daniel Buga
6:53​ | Kizz daniel anachukiwa Nigeria
7:46​ | Mapacha wa Kizz Daniel

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mambo ya Kuangalia Wakati Adobe Premiere Pro Inapokwama kwama
Katika Video hii nimeelekeza mambo ya kuyafanya ndani ya Adobe Premeire Pro ambayo yataondoa ama kukwama kwama kwa Premiere Pro unapofanya Editing

Premium Courses https://richstartz.gumroad.com/

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz​
Twitter: https://twitter.com/richstartz​
Facebook: https://facebook.com/richstatz​
Email: rmaguluko@gmail.com