Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namana ya kuficha picha,Video na Vitu vyako vya siri kwenye applicatoon ambayo sio rahisi kuonekana🤝 #Simukitaa
Kwaheri Stesheni Za Redio (Spotify Stations) Kutoka Spotify!

Tumeshawahi kundika mengi sana kuhusiana na mtandao wa Spotify, pitia kidogo hapa. lakini hivi unajua kuhusu Spotify Stations? Spotify Stations ni huduma ya redio kutoka katika mtandoa wa muziki wa Spotify. Huduma hiyo ina App tofauti kabisa na App ya spotify ile ya kawaida ile tuliyoizoea. App hii ilikua mahususi kwa ajili ya vipindi vya redio na...

The post Kwaheri Stesheni Za Redio (Spotify Stations) Kutoka Spotify! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/kwaheri-stesheni-za-redio-spotify-stations-kutoka-spotify/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=kwaheri-stesheni-za-redio-spotify-stations-kutoka-spotify
Tumia (AI) Artificial Intelligence Kupata Likes Nyingi Instagram

Kama wewe ni msomaji wa Tanzania tech ni wazi kuwa umesha jifunza mambo mengi kuhusu AI au Artificial intelligence. Kupitia makala hii tutaenda kuangalia zaidi njia za kutumia AI kupata likes nyingine kwenye akaunti yako ya Instagram. Kumbuka njia hii inafanya kazi zaidi kama unataka likes na sio followers, kama unataka followers basi unaweza kusubiri […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/kupata-likes-nyingi-instagram/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya Kupata Likes Nyingi Instagram kwa Urahisi (Njia Bora 100%) #Maujanja 122
Kama unataka kuongeza likes kwenye picha ua views kwenye video unazopost kwenye akaunti yako kupitia mtandao wa instagram basi #Maujanja haya yatakusaidia sana. Kupitia njia hii utaweza kupata likes kwa kutumia hashtag, kumbuka njia hii sio sawa na njia nyingine ambazo unazijua bali hii ni rahisi na haraka.

Kama bado huja angalia video yote nakushauri angalia kwani utaweza kujua njia hii rahisi ambayo inafanykazi kwa asilimia 100. Kama umeangalia video basi link ya app iliyotajwa inapatikana hapo chini.

LINK MAALUM

1. Download App ya Hashtag Generator HAPA - https://url.tanzaniatech.one/SR3

2. Kuamini kama njia hii inafanya kazi Angalia akaunti yetu ya Instagram HAPA - https://instagram.com/tanzaniatech_

3. Jifunze kwa undani kuhusu njia hii HAPA - https://url ...
Mpaka Sasa Zimeuzika Zadi Ya PS5 (PlayStation 5) Milioni 19!

Kampuni ya Sony inajishushisha na mambo mengi sana yakiwemo na yale ya kiteknolojia. Sony ndio inamiliki vifaa vya michezo vijuilkanavyo kama PlayStation (PS). PlayStation (PS) zipo kwa matoleo na mpaka sasa wapo katika toleo la tano ps5, na wametoa idadi ya mauzo ya vifaa hivyo. Kwa robo ya mwaka iliyopita pekee Sony wameweza kuuza idadi...

The post Mpaka Sasa Zimeuzika Zadi Ya PS5 (PlayStation 5) Milioni 19! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/zimeuzika-zadi-ya-ps5-playstation-5-milioni-19/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=zimeuzika-zadi-ya-ps5-playstation-5-milioni-19
Jinsi ya Kudivert SMS za Kawaida Kupitia Telegram

Katika ulimwengu huu wa sasa ambapo tunatumia zaidi mitandao ya kijamii pamoja na programu za mawasiliano kama Telegram na WhatsApp ni wazi kuwa umuhimu wa SMS bado upo pale pale. Hii inatokana na huduma nyingi za muhimu kutumia SMS kama njia ya biashara pamoja na mawasiliano. Kuliona hili leo nimekuletea njia fupi sana ambayo itaweza […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/sms-kupitia-telegram/
iPhone Ya Kujikunja Yazidi Kununukia, Teknolojia Ya Galaxy Z Fold 3 Yahusika!

Sasa hivi simu janja za kujikunja ni nyingi mno na kwa sasa teknolojia hii kwa kiasi kikubwa imeanza kuzoeleka. Tumeshaandika sana kuhusu simu na vifaa mbali mbali vinavyotumia teknolojia ya kujikunja HAPA, pitia kwanza kidogo. Taarifa zilizopo ni kwamba Kampuni ya Apple inatumia teknolojia ya OLED ambayo imetumiaka katika Samsung Galaxt Z Fold 3 ambayo...

The post iPhone Ya Kujikunja Yazidi Kununukia, Teknolojia Ya Galaxy Z Fold 3 Yahusika! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/iphone-ya-kujikunja-yazidi-kununukia-teknolojia-ya-galaxy-z-fold-3-yahusika/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=iphone-ya-kujikunja-yazidi-kununukia-teknolojia-ya-galaxy-z-fold-3-yahusika
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 UMEDANGANYWA NA MOVIE (PART 3)
#Movie #Uongo
Katika episode hii nitakwenda kuchambua uongo ambao dhahiri movie za Hollywood zimekuwa zikitudanganya kiasi kwamba baadhi yetu wanaamini kuwa ni kweli..

0:00​ | Introduction
0:37​ | Je ni kweli sniper ni jeshi la mtu mmoja?
1:28​ | Je ni kweli vitani wanajeshi wanafyatuliana risasi bila kuchoka?
2:23​ | Je unatumia asilimia 10 tu ya akili yako?
3:18 | Je ni kweli kidole kilichokatwa kinafungua mlango?
4:03 | Je ni kweli sayari ya Mars ni nyekundu?
4:53​ | Je ni kweli risasi inaweza kukurusha?
5:24​ | Je ni kweli Casino zinaendeshwa na wahalifu?
6:10 | Je ni kweli bulletproof vest inazuia risasi zote?
6:48​ | Je, ni kweli Ndege haiwezi kutua bila injini?
7:37​ | Je ni kweli kuna soulmate mmoja tu?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
##02#
Apple Waacha Kuzalisha Matoleo Yote Ya iPod!

Kumbuka iPod ya kwanza kabisa iliingia sokoni mwaka 2001 na ikabadilisha kabisa jinsi watu wanavyosikiliza na mapenzi ya muziki yaliongezeka kwa kiasi kikubwa. iPod ni mojawapo ya kifaa cha kielektroniki ambacho kimeisaidia sana kampuni ya Apple na imekua ni moja katika ya bidhaa ambayo imeliokoa kampuni –maana ilikua bado kidogo lifilisike — mpaka leo ni...

The post Apple Waacha Kuzalisha Matoleo Yote Ya iPod! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apple-waacha-kuzalisha-matoleo-yote-ya-ipod/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-waacha-kuzalisha-matoleo-yote-ya-ipod
Labda Mpaka Kufikia 2023 iPhone Zitakua Na Charge Ya Type-C (USB-C)!

Fununu zinasema mpaka kufikia 2023 kwa iPhone ambazo zinakuja basi zitakua na sehemu ya kuchaji ambayo tundu lake litakua ni lile la Type-C. Kumbuka aina hizi za chaja simu nyingi za Android ndio zinatumia. Kumbuka habari nyingi kuhusiana na iPhone na charger ya ina hii vimehusishwa sana (1/2)My latest survey indicates that 2H23 new iPhone...

The post Labda Mpaka Kufikia 2023 iPhone Zitakua Na Charge Ya Type-C (USB-C)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/2023-iphone-zitakua-na-charge-ya-type-c-usb-c/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=2023-iphone-zitakua-na-charge-ya-type-c-usb-c