Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Drone Kwa Ajili Ya Selfie Kutoka Snapchat (Pixy)!

Kwa Snapchat sio kitu cha kushangaza sana kuja na teknolojia kama hizi si unakuambuka ile miwani  inayojulikana kama Spectacles? Sasa hivi inakuja na Drone ambayo itakua mahususi kwa ajili ya kupiga selfie za hapa na pale pia na video ambazo moja kwa moja zitaweza kusambazwa katika mtandao huo wa kijamii. Drone hii imepewa jina la...

The post Drone Kwa Ajili Ya Selfie Kutoka Snapchat (Pixy)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/drone-kutoka-snapchat/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=drone-kutoka-snapchat
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tengeneza barcode kwa kutumia Microsoft words || how to create barcode on Microsoft word
Fahamu njia Rahisi ya kuweza kutengeneza barcode kwa kutumia Microsoft word kupitia Simu au kompyuta Yako

Download 👇 barcode font
https://t.me/bongoTechs255
Mpya WhatsApp :Mafaili Makubwa, ‘Emoji Reaction’ Na Watu Hadi 512 Katika Group Moja!

WhatsApp na yenyewe inazidi kujiongeza katika kuhakikisha inapambana na mitandao mingine mingi ya kijamii ili izidi kuwa namba moja. Katika toleo jipya imeongoza vipengele vikubwa vitatu ambavyo mwanzo hatukuvitarajia kuja hivi karibuni naweza kusema Uwezo wa kuweza kutuma na kupokea mafaili makubwa kupitia WhatsApp Kwa sasa unaweza kutuma mafaili yenye ukubwa hadi wa GB 2...

The post Mpya WhatsApp :Mafaili Makubwa, ‘Emoji Reaction’ Na Watu Hadi 512 Katika Group Moja! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/mpya-whatsapp-mafaili-makubwa-emoji-reaction-na-watu-hadi-512-katika-group-moja/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=mpya-whatsapp-mafaili-makubwa-emoji-reaction-na-watu-hadi-512-katika-group-moja
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Nikizungumzia kuhusu chanzo cha Simu Kipata Moto Kwenye Kipindi Cha Kumekucha Kishindo Cha Itv 🤝 #simukitaa
TikTok Kuanza Kugawana Mapato Ya Matangazo Na Wazalishaji Wa Maudhui (Content)!

Ni wazi kuwa mitandao mingi inatengeneza pesa kupitia matangazo na mara nyingi tumeona kuwa sehemu ya mapato hayo wanayopata hugawana na wazalishaji wa maudhui. Hii ni kama mtandao wa YouTube ambao unajulikana sana unavyofanya katika kulipa wazaishaji wa maudhui katika mtandao huo. TikTok nayo imeona isibaki nyuma kabisa. Wengi wameipongeza kampuni kwa jambo hili kwani...

The post TikTok Kuanza Kugawana Mapato Ya Matangazo Na Wazalishaji Wa Maudhui (Content)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/tiktok-kuanza-kugawana-mapato-ya-matangazo-na-wazalishaji-wa-maudhui-content/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=tiktok-kuanza-kugawana-mapato-ya-matangazo-na-wazalishaji-wa-maudhui-content
Fununu Ni Kwamba Drone Kutoka Snapchat (Pixy) Zimetengenezwa Chache!

Vyanzo mbalimbali vimedai kuwa kampuni ya Snapchat imezalisha  Drone zake za Pixy kwa uchache sana maana hata wateja wake wa mwanzo kabisa wameembiwa wasubiri ili kuweza kupata kifaa hiko Hapa lakini kuna mawili, labda imeuza sana kiasi cha kwamba mzigo umewaishia au hawana mzigo wa kutosha hivyo wanatumia hiyo miezi ambayo wamewaambia wateja wasubiri kuzalisha...

The post Fununu Ni Kwamba Drone Kutoka Snapchat (Pixy) Zimetengenezwa Chache! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/drone-kutoka-snapchat-pixy-zimetengenezwa-chache/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=drone-kutoka-snapchat-pixy-zimetengenezwa-chache
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya Uficha picha zako za siri zisionekane Kwenye Gallary/Photos #simukitaa
Companion Mode: Uwezo Wa Kutumia WhatsApp Kwenye Simu Mbili Mbioni!

Hivi si ushawahi kufikiria kutumia namba yako moja ya WhatsApp katika simu mbili? Ukaichana na wewe kumbe hata kampuni ya WhatsApp imeliwaza pia jambo hili Unakumbuka kuwa whatsApp mara ya mwisho ilitoa HII ili kuweza kutumia WhatsApp moja kwenye vifaa mbali mbali? hawakuishia hapo. Hivi karibuni fununu kutoka WABetaInfo zinaeleza kuwa kipengele kinachojulikana kama ‘Companion...

The post Companion Mode: Uwezo Wa Kutumia WhatsApp Kwenye Simu Mbili Mbioni! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/uwezo-wa-kutumia-whatsapp-kwenye-simu-mbili-mbioni/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uwezo-wa-kutumia-whatsapp-kwenye-simu-mbili-mbioni