Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kurestart na kuzima simu ya iPhone ambayo haina fingerprint #simukitaa
Series Ya Infinix Hot Kuja na Sifa Hizi Kwa Mara Ya Kwanza

Kampuni ya simu janja ya Infinix ina matoleo mbalimbali yenye kufahamika kama Smart series, HOT series, NOTE series na Zero series, kila series ikipewa nguvu Zaidi katika kategori/feature fulani lakini sasa huenda ikawa ni tofauti kwa simu hii ya Infinix HOT 12. Kwa taarifa za ndani kabisa ni kuwa simu hii inayotarajiwa kuzinduliwa mwanzoni mwa mwezi […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/series-ya-infinix-hot-kuja-na-sifa-hizi-kwa-mara-ya-kwanza/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi hackers walivyochukua Akaunti za YouTube ya diamond , Rayvany , mbosso mbinu walizotumia !!
Unajua hackers Wana mbinu nyingi sana za kudukua taarifa za watu ivyo inakua ngumu kujua kama huko salama ikiwa ujaweka ulinzi imara

Wasanii wengi hawajui kuzilinda akaunti zao ndo maana ni rahisi wao kudukuliwa Leo nimekulezea mbinu wanazotumia kudukua akaunti za watu maarufu au sio maarufu za mitandao ya kijamii
Instagram , Facebook , YouTube nk

Tizama video kamili

Subscribe likes comment na share

Jifunze zaidi kupitia social media 👇
Instagram
Https://www.instagram.com/bongotech255

Telegram
https://t.me/bongoTechs255

YouTube
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

Teknolojia ni Yetu sote
Jinsi ya Kufuta Tweet Zako Zote Kupitia Mtandao wa Twitter

Kuna sababu mbalimbali za kufikiria kuanza upya kupitia akaunti yako ya mtandao wako wa Twitter, pamoja na sababu hizo ni vyema kufahamu kuwa Twitter haina sehemu maalum ambayo inaweza kusaidia kufuta tweet zako zote. Kuliona hilo leo tumekuletea njia tatu ambazo unaweza kutumia kuweza kuanza kufuta tweet zako zote na kuanza upya kupitia akaunti yako […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/futa-tweet-zako-zote/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Swali nililoulizwa sana kuhusu FL Studio - FL Studio Tutorial
Katika Video Hii nimejibu swali ambalo nimeulizwa mara kwa mara kuhusu Fl Studio.

My Sample Pack: https://richstartz.gumroad.com/l/eagxch

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz​​​​
Twitter: https://twitter.com/richstartz​​​​
Facebook: https://facebook.com/richstatz​​​​
Email: rmaguluko@gmail.com
Jinsi Ya Kuondoa Taarifa Zako ‘Nyeti’ Katika Google Search!

Google wanazidi kuleta maboresho kadha wa kadha kila siku, hii ni katika hali ya kujihakikishia inaendelea kujiboresha zaidi. Mtandao wa Google ndio mtandao ambao unaongoza kutembelewa kwa siku, watu huenda ili kupata taarifa mbalimbali za matafuto (search) yao. Taarifa ambazo huwa zinapatikana hapo ni za aina mbali mbali kwa mfano ingia HAPA ujionee kuhusiana na...

The post Jinsi Ya Kuondoa Taarifa Zako ‘Nyeti’ Katika Google Search! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kuondoa-taarifa-zako-nyeti-katika-google-search/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kuondoa-taarifa-zako-nyeti-katika-google-search
Fanya Mahesabu Muhimu ya Kila Siku Kwa Kutumia Njia Hii

Ni kweli kwamba hesabu ni sehemu ya maisha yetu, ukubali au usikubali ni lazima hesabu itausika kwenye maisha yetu kila siku. Kwa mfano kama wewe ni mlipa kodi ni lazima ujue mahesabu ya asilimia, au kama wewe ni mtu anaejihusha na maswala ya pesa za kigeni ni lazima ujue viwango vya kubadilisha fedha na mahesabu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/fanya-hesabu-kwa-urahisi/