Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Fanya Mambo Kwa Haraka kwa Kugusa Nyuma ya Simu Yako

Ni wazi kuwa teknolojia inakuwa kwa kasi sana, pamoja na kuwa tayari teknolojia inarahisha mambo lakini bado yapo mambo ambayo ni muhimu kufahamu ili kuweza kurahisha matumizi ya simu yako hasa kama wewe ni mpenzi wa teknolojia hasa kipengele hichi cha maujanja. Kuliona hilo leo nuletea njia mpya kabisa ya kuweza kuwasha baadhi ya programu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/taptap-fanya-mengi/
Jinsi ya Kuzuia Bando Kuisha Kwa Haraka (Android)

Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la bei ya bando na hii imefanya watu kushindwa kufanya mambo mbalimbali mtandaoni kama walivyokuwa wanafanya hawali. Kuliona hili leo nimekutea njia bora ambayo inaweza kukusaidia kuzuia bando lako kuisha kwa haraka. Njia hii ni bora na nauhakika itakusaidia sana hasa kama umekuwa ukikumbana na tatizo la bando kuisha bila […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/zuia-bando-kuisha-haraka/