Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Twitter inathibitisha kuwa inafanyia kazi kitufe cha kuhariri

Twitter imethibitisha kuwa inafanyia kazi kitufe cha kuhariri ambacho kingeruhusu watumiaji kubadilisha tweets baada ya kuchapishwa. Inakuja baada ya mjumbe mpya wa bodi, bosi wa Tesla Elon Musk, kuwauliza wafuasi wake kwenye kura ya maoni ya Twitter ikiwa wanataka kipengele hicho. Watumiaji wengi wameomba kwa muda mrefu kitufe cha kuhariri lakini kuna wasiwasi kuhusu jinsi...

The post Twitter inathibitisha kuwa inafanyia kazi kitufe cha kuhariri appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/twitter-inathibitisha-kuwa-inafanyia-kazi-kitufe-cha-kuhariri/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=twitter-inathibitisha-kuwa-inafanyia-kazi-kitufe-cha-kuhariri
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

WATU 10 TAJIRI ZAIDI DUNIANI 2022
#Matajiri #Forbes
Orodha ya Forbes ya mabilionea 10 wanaoongoza kwa utajiri duniani mwaka 2022, Mo Dewji ameshika nafasi ya #1929

0:00​ | Introduction
1:02​ | 1. Elon Musk (Shilingi Trilioni 508.5)
1:57​ | 2. Jeff Bezos (Shilingi trilioni 397)
2:58​ | 3. Bernard Arnault (Shilingi Trilioni 367)
3:51 | 4. Bill Gates (Shilingi Trilioni 300)
5:21 | 5. Warren Buffett (Shilingi Trilioni 274)
6:11​ | 6. Larry Page (Shilingi trilioni 258)
6:49​ | 7. Sergey Brin (Shilingi Trilioni 248)
7:15 | 8. Larry Ellison (Shilingi Trilioni 246)
7:46​ | 9. Steve Ballmer (Shilingi Trilioni 212)
8:00​ | 10. Mukesh Ambani (Shilingi Trilioni 210)

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @download_it_bot

Craft & DIY - 100% Turn Plastic Bottles Into A Simple And Creative 220V Water Turbine Permanent Generator | Facebook
100% Turn Plastic Bottles Into A Simple And Creative 220V Water Turbine Permanent Generator
Jinsi ya Kuongeza uwezo wa RAM Kwenye Simu ya Android

Kwa kawaida simu nyingi huja na kiasi cha kutosha cha RAM, lakini matumizi ya mtu binafsi ndio yanafanya simu kuwa na uwezo mdogo wa RAM. Sasa kuliona hili leo nimekuandalia njia rahisi ambazo unaweza kufuata ili kuongeza uwezo wa RAM ya simu yako. Njia hizi ni rahisi na zinapatikana kwenye kila simu janja a.k.a Smartphone […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kuongeza-ram-kwenye-simu/
App Bora Unayohitaji kwa Ajili ya Watoto (Katuni za Watoto)

Kama wewe ni mzazi basi lazima umeshakutana na matatizo ya mtoto kumaliza bando kwenye simu yako kwa kuangalia katuni kupitia mtandao wa YouTube au YouTube Kids Kuliona hilo leo hapa Tanzania tech nimekuletea app moja tu ambayo na uhakika inaweza kusaidia sana kutunza bando lako ikiwa pamoja na kufurahisha watoto wako hasa kipindi hichi cha […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/katuni-za-watoto/