Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

📍Umuhimu wa Anwani za Makazi📍
YouTube TV ya kwenye iOS 15 yafanyiwa maboresho

Kuna kitu kinaitwa YouTube TV ambapo wengi wetu tunaweza tusiwe tunakifahamu lakini kimekuwepo kwa miaka kadhaa sasa na kimekuwa kikifanyiwa maboresho ya hapa na pale ili kukifanya kivutie zaidi. Kwa zaidi ya miaka mitano sasa YouTube TV imekuwepo kwenye ushindani na ikipatikana kwenye runinga janja halikadhalika rununu (iOS/Android). Si ajabu wasomaji wetu wakisema hawafahamu YouTube...

The post YouTube TV ya kwenye iOS 15 yafanyiwa maboresho appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/youtube-tv-ya-kwenye-ios-15-yafanyiwa-maboresho/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=youtube-tv-ya-kwenye-ios-15-yafanyiwa-maboresho
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA FILAMU (BEHIND THE SCENES)
#behindthescene #bts #hollywood
Leo nakwenda kukuonyesha Behind the scenes za Hollywood movies na kushiriki nawe mchakato mzika.

0:00​ | Introduction
0:35​ | Movie ya The Meg
2:20​ | Movie ya Iron Man
3:57​ | Movie ya Avatar
6:23 | Movie ya The shadow

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Apps Nzuri za Kujaribu Kwenye Simu Yako Mwezi #April

Kama wewe ni mpenzi wa Apps nzuri basi ni wakati mwingine wa kujaribu apps hizo kwenye simu yako yako ya Android. Kupitia makala hizi za Apps nzuri utaweza kujua app mpya kabisa ambazo unaweza kujaribu kwenye simu yako na kuweza kufurahia. Kupitia sehemu ya kwanza ya apps nzuri siku ya leo nimekuletea list ya apps […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/android-apps-nzuri-april/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Simu yako imeharibika ? Na una hofu? Basi relax tutweza kukutengenezea na itakaa sawa na kama ni kioo truetone na Face id tutazirudisha ..
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mfahamu robot ambaye utamuagizia popote ataenda || Mlinzi wa Nyumbani kwako
Amazon hatimaye wametuletea robot ambaye atakusaidia kufanya shughuli mbalimbali za nyumbani kwako ikitokea wewe haupo au Upo eneo la nyumbani tunamuitq Mlinzi wa tatu nyumbani.
Google na mbinu za kukabiliana na habari za uwongo

Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye ulimwengu huu wa utandawazi ni ueneaji wa habari za uongo ambapo kutokana na ukuaji wa teknolojia inachukua chini ya sekunde moja kuwafikia watu wengi duniani. Google ni kampuni kubwa duniani na inawezesha watu kuweza kupata taarifa mbalimbali kuhusu yanayoendelea ulimwenguni. Karibu mwaka mmoja uliopita Google ilifanya jihihada za kuwezesha watu...

The post Google na mbinu za kukabiliana na habari za uwongo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/google-na-mbinu-za-kukabiliana-na-habari-za-uwongo/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-na-mbinu-za-kukabiliana-na-habari-za-uwongo
Simu janja za Google Pixel 6 bila ya uwezo wa kufungua kwa uso

Simu janja nyingi ambazo zinatengenzwa katika mika ya karibuni wanaziongezea sifa kwa kuzifanya kuwa na uwezo wa “Kufungua kwa uso” ingawa mambo ni tofauti kwa simu janja Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro. Inakaribia miezi sita sasa tangu simu janja Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro zitoke (zizinduliwe) lakini hadi sasa hazina teknolojia...

The post Simu janja za Google Pixel 6 bila ya uwezo wa kufungua kwa uso appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/simu-janja-za-google-pixel-6-bila-ya-uwezo-wa-kufungua-kwa-uso/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=simu-janja-za-google-pixel-6-bila-ya-uwezo-wa-kufungua-kwa-uso
Weka Ulinzi wa Fingerprint Kwenye App Yoyote (Android)

Wakati ikiwa bado haija fahamika kwa uhakika ni simu gani ya kwanza kuja na fingerprint, lakini ni wazi kuwa sehemu hii imekuwa ni sehemu ya muhim kwenye simu nyingi sana hasa kwa upande wa ulinzi. Kuliona hili leo kupitia makala hii nimekuletea njia rahisi na ya haraka ambayo unaweza kutumia kuweka ulinzi wa fingerprint kwenye […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/weka-fingerprint-kwenye-app-yoyote/