Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Ficha Apps Kwenye Simu za Samsung Bila Kutumia App

Ni wazi kuwa kuna wakati unahitaji kuficha app fulani kwenye simu yako, haijalishi sababu lakini ni wazi kuwa ni vizuri kuwepo kwa sehemu ambayo kwa namna moja ama nyingine itakusaidia kuficha apps kwenye simu yako. Kuliona hili leo nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kufisha apps kwenye simu yako ya Android ya Samsung bila kutumia […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/kuficha-apps-simu-za-samsung/
Apps Zinazoweza Kufanya Simu Yako Kuwa Janja Zaidi

Ni wazi kuwa smartphone bila apps ni sawa na “gari bila mafuta au bila umeme”, hii ni kwa sababu smartphone inaitwa “smart au janja” kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi kwa kutumia apps mbalimbali na kurahisisha zaidi kazi ya mtumiaji. Kuliona hili leo nataka nikupe urahisi zaidi wa kutumia simu yako hivyo nimekuletea apps […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/apps-za-kufanya-simu-kuwa-smart/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tumia kingamuzi Cha Azam Bure bila kulipia kupitia simu yako
Sasa unaweza kutuzima na kuangalia chaneli mbalimbali zilizopo kwenye kingamuzi Cha Azam Bure bila kulipia au kuwa na kadi ya kingamuzi kupitia simu yako

Usisahau ku subscribe likes comment na share

Join telegram 👇
https://t.me/bongoTechs255

Teknolojia ni Yetu sote
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya ku Animate Poster ya Ramadhan | After Effects Tutorial
Katika Video Hii nimefundishaa na kuelezea Jinsi ya ku Animate Poster ya Poster ya Ramadhan | After Effects Tutorial

DOWNLOAD ILLUSTRATOR FILE: https://bit.ly/35dGP1k
DOWNLOAD FILES: https://bit.ly/3tGl2IX

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU JUX
#Jux #TheAfricanBoy
Kupitia episode hii tunakwenda kuangalia safari ya Juma Jux aka African boy.

0:00​ | Introduction
0:35​ | Kuhamia mziki wa RnB kutokea rap
1:24​ | Napata raha ya Jux
2:18​ | Msanii mkubwa wa R&B Tanzania
2:53 | Gumzo ya Kushinda tuzo ya R&B
3:46 | Jay z Na Beyonce wa Bongo
4:54​ | Jux na vanessa Mdee
5:34​ | Elimu ya Juma Jux
6:20 | Brand yake ya African Boy
7:10​ | Mtaji wa kwanza wa African boy
7:41​ | Kufanya albamu ya The Love album - Jux

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James