Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU ROMAN ABRAMOVICH
#Abramovich #chelsea
Roman Abramovich - bilionea anayejulikana kwa kuleta mapinduzi ya soka katika karne ya 21 baada ya kununua Klabu ya Soka ya Chelsea kuna sitofahamu kede kede juu ya utajiri wake

0:00​ | Introduction
0:52​ | Historia ya Abramovich
1:36​ | Biashara yake ya kwanza ya ujasiriamali
2:20​ | Abramovich na biashara za magendo
3:13 | Roman Abramovich na wanasiasa Urusi
3:50 | Utajiri wa Abramovich
4:47 | Uhusiano wa Abramovich na raisi Putin
5:27​ | Abramovich Kununua Chelsea mwaka 2003
6:04 | Putin anahusikaje kwenye ununuzi wa Chelsea?
6:55​ | Boti na ndege ya Abramovich
7:36​ | Kwanini Abramovich awekewa Vikwazo?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hutumia muda mwingi kuedit picha zako basi leo nimekuandalia maujanja rahisi sana ambayo unaweza kutumia kuweza kuondoa background kwenye picha zako bila kutumia programu yoyote. Njia hii ni rahisi sana na uhitaji kuwa na ujuzi wowote bali unacho hitaji ni kuwa na simu yako au kuwa na kompyuta. […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/kuondoa-background/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

ITU has announced the list of nominated projects, some of which are from Tanzania. The public/ WSIS stakeholders are encouraged to cast their votes by 31 March 2022 to increase the chances for Tanzanian projects to win.

To Vote, click link https://www.itu.int/net4/wsis/stocktaking/Account/Login?ReturnUrl=%2Fnet4%2Fwsis%2Fstocktaking%2FPrizes%2F2022%2FVote to register into WSIS platform under WSIS PRIZEZ 2022.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tumia internet ya Bure kwenye simu yako 2022 bila kuwa na mb ?
Sasa unaweza kutumia internet bila kuwa na mb yoyote na kuperuzi sehemu mbalimbali Yani una haja ya kuwa na mb wewe tu na simu yako tizama sasa

Subscribe for more videos

Tuachie maoni yako umefanikiwa au lah ?

Jiunge nasi telegram πŸ”₯πŸ”‹πŸŒ

https://t.me/bongoTechs255
Umuhimu wa Kurestart Simu Yako Angalau Mara 1 kwa Wiki

Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba β€œkila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma makala hii kama unataka kujua kwanini […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/restart-simu/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU FOA YA DIAMOND PLATNUMZ
#DiamondPlatnumz #FOA
Diamond Platnumz ameachia Debut Extended Play au waweza kusema Ep yake ya kwanza iitwao First of All kifupisho FOA.FOA inayojumuisha nyimbo 10, Melody ft Jaywillz,Somebody, Fine, Mtasubiri Ft Zuchu, Sona Ft Adekunle Gold, loyal, Wonder, Nawaza,Oka na Fresh Ft Focalistic

0:00​ | Introduction
0:53​ | Kwanini FOA ni EP na sio Albamu?
2:07​ | FOA ni EP kweli?
3:09​ | Waliohusika kwenye FOA,S2kizzy,Lizer Classic n.k
3:57 | Loyal - Diamond Platnumz imesample Essense ya Wizkid?
4:44 | Msanii jaywillz ni nani? Diamond - Melody ft Jaywillz
5:43​ | Adekunle Gold ni nani? Sona Ft Adekunle Gold
6:38​ | Msanii Focalistic ni nani? Diamond platnumz - Fresh
7:18 | Costa Titch aliyeshirikishwa kwenye Fresh
7:38​ | Pabi Cooper aliyeshirikishwa kwenye Fresh
7:54​ | FOA kwenye jarida la mziki la Marekani

Episode za Newzfid, ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Short Documentary| MAISHA YATAKUWAJE BILA YA INTERNET DUNIANI |Athari ya VITA
Short Documentary| MAISHA YATAKUWAJE BILA YA INTERNET DUNIANI |Athari ya VITA
VITANI LIVE: VITA BADO |MAELFU YA RAIA WAREJEA KWAO KUPIGANA UKRAINE
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI

Kujiunga masomo yetu kupitia App yetu : https://nkitlessonscenter.glideapp.io/
---------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
--------
-----------------------------------------------
JINSI ya KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako
JINSI YA KUPATA GB 48 BURE MWAKA MZIMA
Jinsi ya kupata gb 10 bur ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Short Documentary| MAISHA YATAKUWAJE BILA YA INTERNET DUNIANI |Athari ya VITA
Short Documentary| MAISHA YATAKUWAJE BILA YA INTERNET DUNIANI |Athari ya VITA
VITANI LIVE: VITA BADO |MAELFU YA RAIA WAREJEA KWAO KUPIGANA UKRAINE
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI

Kujiunga masomo yetu kupitia App yetu : https://nkitlessonscenter.glideapp.io/
---------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
--------
-----------------------------------------------
JINSI ya KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako
JINSI YA KUPATA GB 48 BURE MWAKA MZIMA
Jinsi ya kupata gb 10 bur ...