Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Twitter yaruhusu kipengele cha kutoa angalizo kuhusu chapisho

Twitter imekuwa ni miongoni mwa mitandao ya kijamii ambayo inafanyiwa maboresho ya mara kwa mara kutokana na sababu mbalimbali kitu ambacho kinaifanya kuwa ya kitofauti. Je, unafahamu kuhusu uwezo wa kutoa angalizo kuhusu chapisho? Mtandao wa kijamii wa Twitter si kivutio kibwa cha vijana wengi duniani lakini ukiwa mtumiaji wa mara kwa mara basi utaona...

The post Twitter yaruhusu kipengele cha kutoa angalizo kuhusu chapisho appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/twitter-yaruhusu-kipengele-cha-kutoa-angalizo-kuhusu-chapisho/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=twitter-yaruhusu-kipengele-cha-kutoa-angalizo-kuhusu-chapisho
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 3 March, 2022💥💥💥

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudesign Polar Audio Visualization | After Effects Tutorial
Katika Video hii nitakufundisha na kukuonesha Jinsi ya kudesign Jinsi ya kudesign Polar Audio Visualization kwa kutumia Adobe After Effects.

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Jinsi ya kutengeneza Video Bora za YouTube Kwa Kutumia Simu

Ni wazi kuwa dunia kwa sasa inaamia kiganjani, japo kuwa bado kuna uwezekano wa kompyuta kuendelea kuhitajika lakini ni wazi kwa simu kwa sasa zimekuwa zikifanya kila kitu ambacho zamani kilikuwa kunafanywa na kompyuta. Kuliona hili leo nimekuandalia makala ambayo itakupa maelezo ya tofauti ya jinsi ya kutengeneza video bora kwa kutumia simu yako ya […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/kutengeneza-video-za-youtube-kwa-kupitia-simu/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BULLET TRAIN - Official Trailer Review : Tegemea Mapanga Tu ( inSwahili )
#Sony #BulletTrain #Snashtz
BULLET TRAIN - Official Trailer Review : Tegemea Mapanga Tu ( inSwahili )

Video Source @Sony Pictures Entertainment
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Ondoa Background Kwenye Video #Short
Njia hii itakusaidia sana kuondoa background kwenye Video yoyote kwa urahisi na haraka.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Tech
Ondoa Background Kwenye Video #Short

Njia hii itakusaidia sana kuondoa background kwenye Video yoyote kwa urahisi na haraka.
Apps za Kusaidia Kutumia Simu ya Mtu Kwenye Simu Yako

Kuna wakati unakuta unataka kumsaidia mtu kufanya kitu fulani kwenye simu yake na unakuta uko mbali nae, iwe unataka kumsaidia rafiki, ndugu ama jamaa app hizi nzuri zinaweza kukusaidia sana kuunganisha simu yako na simu ya unayetaka kumsaidia kitu hicho. Kabla ya kuanza kuzitaja app hizi labda nikueleze tena kwa undani kidogo jinsi app hizi […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/tumia-simu-ya-mtu-kwenye-simu-yako/