Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Wasiliana na Dawati la Huduma kwa Wateja la TCRA kwa kupiga simu bila malipo kupitia namba 0800008272 au kupitia baruapepe: dawatilahuduma@tcra.go.tz.

Dawati la Huduma kwa Wateja la TCRA lipo wazi kwa siku za Jumatatu hadi Ijumaa (isipokuwa siku za Sikukuu), kuanzia saa mbili kamili asubuhi (2:00) hadi saa nne kamili usiku (4:00).

Karibu Tukuhudumie.
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unazifuta akaunti zote za mtandaoni ulizoacha kutumia ili kulinda usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Namna ambavyo unaweza kupata msaada wakati wa dharura kwa njia ya mtandao.
Machache kuhusu simu janja Xiaomi 12 Ultra

Mwaka huu Xiaomi 12 Ultra itatoka na simu hii inaonekana isiwe tofauti sana ile iliyotoka nyuma yake kwa maeneo mbalimbali yanayopendwa na watu. Xiaomi 12 Ultra ni simu janja ambayo inazungumziwa kwa wingi na watu wanaofuatilia kwa karibu kutaka kufahamu undani wa rununu husika hata kabla haijatoka. Simu hii ambayo inatazamiwa kutoka kwenye robo ya...

The post Machache kuhusu simu janja Xiaomi 12 Ultra appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/machache-kuhusu-simu-janja-xiaomi-12-ultra/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=machache-kuhusu-simu-janja-xiaomi-12-ultra
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kuondoa maji kwenye speaker bila Kufungua simu Yako mwaka 2022
Hivi unajua unaweza kuondoa maji yaliyoingia kwenye speaker Yako bila Kufungua simu Yako.

Tizama Sasa ujifunze nasi

Jinsi ya kumfuatilia mtu mawasiliano yake

https://youtu.be/nQ15WYG7v64

Jinsi ya kupata Gb 5 za bure kwenye simu Yako
https://youtu.be/HNgfUO7gGqk

Teknolojia ni Yetu Sote 😇

Jiunge nasi Telegram
https://t.me/bongoTechs255

Social media 👇
1. Tik tok 🔻 https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. Instagram🔻 https://instagram.com/bongotech255

3. YouTube🔻 https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

4. Facebook 🔻 https://Facebook.com/bongotech255
‘Truth Social’ Mtandao wa kijamii wa Trump umezinduliwa kwenye iOS

Truth Social, Mtandao wa kijamii wa Donald Trump kama Twitter umezinduliwa kwenye App Store, CNET imeripoti. Hilo linathibitisha taarifa kutoka kwa akaunti iliyoidhinishwa inayohusishwa na afisa mkuu wa bidhaa wa Truth Social “Billy B,” ambaye aliwaambia watu wanakili tarehe 21 Februari kwenye kalenda zao. “Kwa sasa tuko tayari kupatikana katika Duka la Apple kwa Jumatatu,...

The post ‘Truth Social’ Mtandao wa kijamii wa Trump umezinduliwa kwenye iOS appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/truth-social-mtandao-wa-kijamii-wa-trump-umezinduliwa-kwenye-ios/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=truth-social-mtandao-wa-kijamii-wa-trump-umezinduliwa-kwenye-ios
TeknoKona (Facebook)

Fahamu machache kuhusu Xiaomi 12 Ultra.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JINSI ya KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako
Jifunze hatua kwa hatua namna ya JINSI ya KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako, ili ujue jinsi ya JINSI ya KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako, video hii itakuonesha hatua zote ili KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako.
----
Imagine a world where you have unlimited cloud storage. The world where you can store all your photos, videos and documents without worrying about running out of space. That's the future we are living in because now you can get 100 GB of free cloud storage and here the steps.

Link ya Media Fire https://www.mediafire.com/?svrtvlo
Link ya Degoo https://degoo.com/
Jinsi ya kuwa na account ya Gmail https://www.youtube.com/watch?v=6ijp_OyBx4I
-----------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5 ...
Shortcuts (14) za Windows Ambazo Ulikuwa Huzijui

Pamoja na kuwa kwa sasa kila kitu kinaweza kufanyika kwenye simu lakini ni wazi kuwa bado kompyuta zinazo nafasi yake kwa kiasi chake. Kuliona hili leo nimekuletea makala hii fupi ya shortcuts za windows ambazo unaweza kutumia kwenye kompyuta yako. Inawezekana kwa namna moja ama nyingine ulikuwa hujui kuhusu shortcuts hizi hivyo ningependa usome makala […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/shortcuts-za-windows/
Jinsi ya kuficha kabisa Chats kwenye WhatsApp

WhatsApp sasa hukuruhusu kuficha chats kabisa kwa kuziweka kwenye kumbukumbu, hata kama ujumbe mpya utaingia kwenye mazungumzo hayo. Kipengele hiki kutoka kwa kampuni ya utumaji ujumbe inayomilikiwa na Meta ni njia nzuri ya kuzima mazungumzo yasiyotakiwa, na kuyazuia yasionekane katika orodha yako kuu ya chats. Folda ya Kumbukumbu kimsingi inaruhusu watumiaji kupuuza kikundi au mtu...

The post Jinsi ya kuficha kabisa Chats kwenye WhatsApp appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kuficha-kabisa-chats-kwenye-whatsapp/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kuficha-kabisa-chats-kwenye-whatsapp
Uwezekano wa kujiondoa kwenye mazungumzo kwenye Twitter

Kama ambavyo ilivyo mitandao ya kijamii mingi tuu kwamba unaweza kumtaja mtu kwenye kile ambacho umekiandika kwa maana ya wengine kuweza kuona vivyo hivyo kwenye Twitter inawezekana pia. Halikadhalika, hata kujiondoa kwenye mazungumzo inawezekana. Waliopo kwenye kitendo cha kufanya maboresho kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wamekuwa wakileta maboresho mbalimbali katika miezi ya karibuni kitu...

The post Uwezekano wa kujiondoa kwenye mazungumzo kwenye Twitter appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/uwezekano-wa-kujiondoa-kwenye-mazungumzo-kwenye-twitter/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uwezekano-wa-kujiondoa-kwenye-mazungumzo-kwenye-twitter
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mwenendo wa bei za rejareja za Dakika, SMS na Data ndani ya kifurushi, kuanzia Mwaka 2015 hadi kufikia Februari, 2022.
TeknoKona (Facebook)

Whatsapp wameleta uwezo wa kuficha kabisa chats, Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kuficha-kabisa-chats-kwenye-whatsapp/
TeknoKona (Facebook)

Mtandao wa kijamii wa Truth Social sasa umezinduliwa rasmi iOS, Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://teknolojia.co.tz/truth-social-mtandao-wa-kijamii-wa-trump-umezinduliwa-kwenye-ios/