Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Oraimo BoomPop : Bluetooth Headphone Review
#Oraimo #BoomPop #Snashtz
Oraimo BoomPop : Bluetooth Headphone Review

Smart Watch Ya Bei Rahisi ina Display Kali sana : Oraimo https://youtu.be/W0LuN6GJBRI

Oraimo Dods 3 Review , USIICHUKULIE POA ! https://youtu.be/BYLqefPWQcU
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Uwepo wa Klabu za Kdijitali na Vituo atamizi vya TEHAMA kutaongeza matumizi ya TEHAMA katika Sekta mbalimbali”
TeknoKona (Facebook)

Sasa kwenye Snapchat unaweza ukamweleza mtu mahali ulipo kwa kidijitali.
TeknoKona (Facebook)

Kama unafikiria kuja kuweka Windows 11 Pro basi uwe tayari pia kuwa na akaunti ya Microsoft.
Muundo wa jumbe za sauti kwenye WhatsApp waboreshwa

Mfumo wa kutumia jumbe za sauti kueleza kitu fulani na ta kuwasambazia wengine kwenye WhatsApp na kwingineko imekuwa ni kitu cha kawaida sana na watu wengu wanatumia duniani kote. Mfumo huu wa kutumia sauti kupekeka ujumbe kwa mtu mwingine ndani ya WhatsApp umekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi hasa pale ambapo mtu anataka kujibu kitu...

The post Muundo wa jumbe za sauti kwenye WhatsApp waboreshwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/muundo-wa-jumbe-za-sauti-kwenye-whatsapp-waboreshwa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=muundo-wa-jumbe-za-sauti-kwenye-whatsapp-waboreshwa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

How to relock Bootloader on Samsung Method 1
The device used is Samsung Galaxy Jean (SM-A605K). This method doesn't apply to all Samsung models.

Warning! Ensure your device is running on stock firmware before you relock bootloader
Fununu: Simu janja ijayo ya Motorola kuwa na kamera yenye MP 194

Motorola wapo njiani kuja na simu janja mpya ambayo inaonekana kuna nguvu nyingi zimewekezwa kuhakikisha kuwa kamera ya rununu husika inakuwa ni yenye ubora wa kuvutia. Zimekuwepo taarifa mbalimbali zikihusisha Motorola kueta simu janja ijayo mbele ya macho ya watu ambayo inayo kamera ya ubora wa hali ya juu ambapo awali iliaminika kuwa simu hiyo...

The post Fununu: Simu janja ijayo ya Motorola kuwa na kamera yenye MP 194 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/fununu-simu-janja-ijayo-ya-motorola-kuwa-na-kamera-yenye-mp-194/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=fununu-simu-janja-ijayo-ya-motorola-kuwa-na-kamera-yenye-mp-194
TeknoKona (Facebook)

Mara ya mwisho ni lini kuboresha WhatsApp unayoitumia ili kuweza kuona utofauti?
TeknoKona (Facebook)

Mojawapo ya simu janja za Motorola ambazo wamewahi kuweka nguvu kubwa kwenye kamera.
Jinsi ya Kutuma Barua Pepe ya Siri Kupitia Google Gmail

Katika ulimwengu huu wa sasa ni wazi kuwa kila mmoja wetu anahitaji usiri kwa namna moja ama nyingine. Kuliona hili siku ya leo nimekuletea njia rahisi ambayo itakusaidia kutumia email ya siri moja kwa moja kwa kutumia mtandao wa Gmail. Njia hii ni bora kama unataka kutumia mtandao wa Gmail kuweza kutuma ujumbe wa barua […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/jinsi-ya-kutuma-barua-pepe-ya-siri-kupitia-google-gmail/
Apps Nzuri Kwa Simu za Android Zilizopo Rooted

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao tayari umefanikiwa kuroot simu yako ya Android basi makala hii ni kwa ajili yako, kama kwa namna yoyote unataka kujifunza kuroot simu yako basi unaweza kusoma makala hii kama unataka kuroot simu ya TECNO, au hapa kama unataka kuroot simu ya Samsung. Kumbukua kuroot simu yako kuna madhara […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/apps-nzuri-kwa-simu-rooted/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BUSHMAN ALIPOTELEA WAPI?
#Bushman #movies
Nǃxau ǂToma, mwigizaji aliyeigiza kama Bushman,Umaarufu wake ambao haukutarajiwa ulitokana na mafanikio ya kustaajabisha ya filamu ya kuchekesha ya miaka ya 1980 The Gods Must Be Crazy.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Marekani: Uwezo wa kupiga namba ya dharura 911 kupitia Skype

Skype imedumu kwenye ulingo wa biashara kwa miaka mingi na bado wanaendelea kuhudumia watu duniani kote hadi leo hii huku maboresho mbalmbali yakiendelea kutoka. Skype imekuwa msaada mkubwa kwa miaka mingi kwa mashirika, makampuni na watu kwa ujumla wao duniani kote. Ushindani ni mkubwa na ingawa Zoom inaonekana kuwa maarufu zaidi lakini kuna watu/mashirika bado...

The post Marekani: Uwezo wa kupiga namba ya dharura 911 kupitia Skype appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/marekani-uwezo-wa-kupiga-namba-ya-dharura-911-kupitia-skype/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=marekani-uwezo-wa-kupiga-namba-ya-dharura-911-kupitia-skype