Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Umepoteza namba za simu za watu wako wa ZAMANI ?
Ikiwa wewe ni mmoja wa watu ambao umepoteza namba za simu za watu wako wa karibu, marafiki , ndugu au jamaa basi Leo utazipata kwa urahisi sana ?

Njia hii inafanya kazi kupitia simu au kompyuta ila hakikisha unatumia browser Yako yoyote kama mozila , google chrome , Firefox , opera mini na nk.

Subscribe for more videos
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

Bonyeza hapa kurudisha Namba zako πŸ‘‡

https://m.facebook.com/mobile/messenger/contacts/

Jinsi ya kurudisha message uliyofuta kwa bahati mbaya
https://youtu.be/O2OMd3E4QpQ

Jinsi ya kumfuatilia mtu mawasiliano yake
https://youtu.be/nQ15WYG7v64

Social media link πŸ‘‡
1.TikTok
https//www.tiktok.com/@bongotech255
2. Facebook https://Facebook.com/bongotech255
3. Instagram
https://instagram.com/bongotech255
4. YouTube
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6 ...
Simu janja Nokia G11 yazinduliwa bila matangazo

Nokia G11 ni simu janja iliyozinduliwa lakini haikuwa na shamrashamra za matangazo kuhusiana na uzinduzi wake na badala yake watu walishangaa kuikuta kwenye tovuti ya Nokia kama bidhaa yao mpya. Simu hii inafanana kwa karibu kabis na Nokia G21 katika maeneo mengi tuu lakini utofauti wake unaonekana zaidi kwenye kamera kuu na ni nyepesi zaidi....

The post Simu janja Nokia G11 yazinduliwa bila matangazo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/simu-janja-nokia-g11-yazinduliwa-bila-matangazo/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=simu-janja-nokia-g11-yazinduliwa-bila-matangazo
TeknoKona (Facebook)

Mabadiliko madogo kwenye uso wa mbele ndani ya Facebook ndio haya.
TeknoKona (Facebook)

Ukitaka kufahamu undani wa Nokia G11 basi ndio huu hapa.
Xiaomi wanafanya majariibo ya teknolojia ya kuchaji haraka-150W

Makampuni mengi yamekuwa kazini wakiboresha muda ambao simu janja inatumia kujaa chaji na yamekuwepo mabadiliko mengi kwa miaka kadhaa sasa. Xiaomi wamekuwa na kiu ya kuboresha teknolojia ya kuchaji haraka. Xiaomi imekuwa katika ushindani na kampuni nguli kwenye ulingo wa biashara ya simu janja na kampuni hiyo imekuwa ikishika nafasi za juu mara kwa mara...

The post Xiaomi wanafanya majariibo ya teknolojia ya kuchaji haraka-150W appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/xiaomi-wanafanya-majariibo-ya-teknolojia-ya-kuchaji-haraka-150w/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=xiaomi-wanafanya-majariibo-ya-teknolojia-ya-kuchaji-haraka-150w
Simu janja Lenovo Legion Y90 kutoka Februari 28

Kwenye ulingo wa simu janja ambazo zina uwezo mkubwa kwa maana ya kuweza kuhimili magemu mazito mojawapo ni Lenovo Legion Y90 ambayo tarehe ambayo rununu hiyo itanzinduliwa imeshafahamika. Kwa wale wanaopenda rununu ambazo zina uwezo mkubwa hasa kwenye upande wa kuitumia rununu kucheza magemu basi tutakuwa tunafahamu vyema kuwa Lenovo ni miongoni mwa kampuni zinazotengeneza...

The post Simu janja Lenovo Legion Y90 kutoka Februari 28 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/simu-janja-lenovo-legion-y90-kutoka-februari-28/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=simu-janja-lenovo-legion-y90-kutoka-februari-28
Wasogeze karibu mpaka watu sita unaowasiliana nao kwenye Twitter

Twitter ina watumiaji wengi tuu ambao kwao ni mtandao wa kijamii muhimu sana kuzidi mingine. Umaarufu wake si mkubwa lakini umetokea kuwavutia watu mbalimbali ulimwenguni kote. Twitter imekuwa katika maboresho mbalimbali ili tuu kuendana na sera za mpya za Umoja wa Ulaya namna ambavyo makampuni makubwa yanakusanya na kuzihifadhi data za watu. Hilo halijaifanya Twitter...

The post Wasogeze karibu mpaka watu sita unaowasiliana nao kwenye Twitter appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/wasogeze-karibu-mpaka-watu-sita-unaowasiliana-nao-kwenye-twitter/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=wasogeze-karibu-mpaka-watu-sita-unaowasiliana-nao-kwenye-twitter
Uchina: Honor yashika nafasi ya pili kimauzo kwenye robo ya nne ya mwaka 2021

Mauzo ya simu janja nchini Uchina katika robo ya nne ya mwaka 2021 yameshuka kwa asilimia 11 lakini hilo halijafanya Honor kushindwa kushika nafasi ya pili tangu itoke chini ya mwamvuli wa Huawei. Takwimu zilizotolewa na Counterpoint (kampuni iliyojikita kufanya utafiti wa mauzo ya simu janja kwa kila robo ya mwaka) imetoa takwimu za mauzo...

The post Uchina: Honor yashika nafasi ya pili kimauzo kwenye robo ya nne ya mwaka 2021 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/uchina-honor-yashika-nafasi-ya-pili-kimauzo-kwenye-robo-ya-nne-ya-mwaka-2021/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uchina-honor-yashika-nafasi-ya-pili-kimauzo-kwenye-robo-ya-nne-ya-mwaka-2021
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI).
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI).
Mambo Muhimu Kujua Kabla ya Kununua TV Nzuri

Ukweli ni kwamba kila mtu anahitaji kitu ambacho ni bora na chenye kudumu, katika swala zima la kununua TV pia ni muhimu sana kuwa na TV ambayo ni bora na ya kisasa na yenye kukidhi haja yako na ya familia yako kwa ujumla. Katika kuhakikisha hilo kuna mambo ambayo ni muhimu kuzingatia kabla huja amua […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/kununua-tv-nzuri/
Uwezekano wa kumwonyesha mtu mahali ulipo kwenye Snapchat

Snapchat ni moja ya mitandao ya kijamii ambao wengi waitumia Snapchat asilimia kubwa ni Wamarekani kundi la vijana na kama ilivyo kwa mitandao ya kijamii mingine uraibu wa matumizi upo njenje. Snapchat imekuwepo kwenye ushindani kwa miaka kadhaa sasa imekuwa ikifanyiwa ikifanyiwa maboresho ili kuifanya kuendana na kile ambacho watumiaji wanakihitaji. Katika maboresho ambayo Snapchat...

The post Uwezekano wa kumwonyesha mtu mahali ulipo kwenye Snapchat appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/uwezekano-wa-kumwonyesha-mtu-mahali-ulipo-kwenye-snapchat/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uwezekano-wa-kumwonyesha-mtu-mahali-ulipo-kwenye-snapchat
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

How to unlock Bootloader on Samsung Method 1
The model used for this method is the Samsung Galaxy Jean (SM-A605K) .Note that this method doesn't apply to all Samsung models.
Kutumia Windows 11 Pro kuhitaji akaunti ya Microsoft

Toleo jipya la programu endeshi kutoka kwenye familia ya Windows inapata wateja kwani kompyuta nyingi sasa watu wanaamua kubadilisha na kuweka kitu kipya. Windows 11 Pro ni toleo mojawapo la programu endeshi ambazo zipo chini ya Windows na zinafanya kazi bega kwa bega na Microsoft. Watu wengi ambao wanatumia kompyuta hivi sasa wengi wao utakuta...

The post Kutumia Windows 11 Pro kuhitaji akaunti ya Microsoft appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/kutumia-windows-11-pro-kuhitaji-akaunti-ya-microsoft/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=kutumia-windows-11-pro-kuhitaji-akaunti-ya-microsoft