Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fahamu Kwamba…!

Chaneli zote za Televisheni zinazotazamwa bila kulipia, sasa zinaoneshwa kwenye Visimbuzi vyote Nchini, kufuatia maboresho yaliyofanyika kwenye Kanuni za Utangazaji wa kidijiti na Kanuni za Leseni.

Mbona kuna baadhi ya chanel huwezi kutazama bure kama hujalipia ambazo ni chanel za ndani

Mfano Tv E, Upendo Tv, hususani kwenye visimbusi vya StarTimes
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fahamu Kwamba…! Chaneli zote za Televisheni zinazotazamwa bila kulipia, sasa zinaoneshwa kwenye Visimbuzi vyote Nchini, kufuatia maboresho yaliyofanyika kwenye Kanuni za Utangazaji wa kidijiti na Kanuni za Leseni.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

How Integromat Works
This video explains how Integromat works and walks you through the basic concepts.

Ready to start building? Here's the link 👍

Create an Integromat account: https://www.integromat.com/en/register?utm_source=youtube&utm_medium=social&utm_campaign=how-integromat-works

----------

Got any questions? Ask us in the comments.

#automation #googleforms #trello #overview #integromat

Enjoyed the video?
LIKE & SUBSCRIBE so you can learn how to automate anything & everything with Integromat.

FOLLOW US on Facebook: https://bit.ly/3uXr3j8
FOLLOW US on Twitter: https://bit.ly/3kVsLNn
FOLLOW US on Linkedin: https://bit.ly/3uYqsxP

Integromat is a no-code, visual integration platform that lets you connect any apps or APIs to automate and optimize workflows. Create your free account today to start automating your work.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kuchukua Maneno Yaliyopo kwenye Picha yoyote kupitia simu yako
hivi una fahamu Sasa unauwezo wa kuchukua maneno Yaliyopo kwenye picha yoyote Ile na kuweka kwenye simu yako

labda umeona maneno mazuri yapo kwenye picha au screenshot yoyote umepiga Ina misemo mizuri Sasa utakua na uwezo wa kuchukua bila shida yoyote

tizama Sasa !!!!!

usisahau Ku subscribe likes comment & share

Jiunge nasi Telegram Sasa 👇

https://t.me/bongoTechs255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUCHEZA BONANZA NA USHINDE
BONANZA_NJIA_KUSHINDA_BONANZA_mv6wgOx2E3Q_299.mp4
245.3 MB
BONANZA_NJIA_KUSHINDA_BONANZA_mv6wgOx2E3Q_299.mp4
TeknoKona (Facebook)

Alibaba ni moja kati ya kampuni kubwa za kiteknolojia nchini China. Soma makala hii uweze kufahamu huduma zinazotolewa na kampuni hii.

https://zcu.io/iLeN
TeknoKona (Facebook)

Amazon ni kampuni inayojihusisha na biashara za mtandaoni, Kuuza na kununua bidhaa za rejareja mtandaoni. Soma makala hii kufahamu zaidi

https://zcu.io/RmPw
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JE WAJUA SMARTPHONE YAKO INAWEZA KUFANYA HAYA?
Leo tunakwenda kuangalia baadhi ya apps na kazi ambazo sembuse hukufahamu SMARTPHONE..Je wajua simu yako inaweza Fuatilia Mapigo ya Moyo Wako,Pima Urefu, Kasi na Umbali?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

Mpangilio mzuri wa mafaili hupelekea wepesi wa kufanya kazi. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hamisha mafaili kutoka kwenye kompyuta yako kwa kuzingatia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Andaa ujumbe wako mapema kwenye barua pepe lakini utume baadae.
TeknoKona (Facebook)

Ule wakati ambao watu wanabuni matumizi mapya ya kifaa cha kiditi halafu kuishia kukera wengine.
Uwezekano wa kuweka picha ya nyuma kwenye WhatsApp Business

WhatsApp Business imekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi hasa wale wanaopenda kutenganisha mawasiliano ya kawaida na yale yanayohusiana na biashara bila kusahau maboresho ambayo yamekuwa yakifanyika huko. Wengi ambao wanatumia WhatsApp ambayo imetengezwa kwa maudhui ya kibiashara wanafahamu namna mtu anavyoweza kuweka taarifa mbalimbali zinazohusu kitu anachokifanya (biashara). Inawezekana kuweka picha halikadhalika bei ya bidhaa...

The post Uwezekano wa kuweka picha ya nyuma kwenye WhatsApp Business appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/uwezekano-wa-kuweka-picha-ya-nyuma-kwenye-whatsapp-business/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uwezekano-wa-kuweka-picha-ya-nyuma-kwenye-whatsapp-business